Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu habari za uhakika kutoka mahakama kuu ya Tanzania ( The High Court of Tanzania) ni kwamba aliekua mgombea wa ubunge jimbo la Segerea bwana Fredrick Mpendazoe amefungua case rasmi ikiomba...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Huenda tukawa na kambi mbili za upizani katika Bunge moja.Hili limetokana na uovu wa Chadema wa kutotaka kushirikisha chama kingine katika kambi yao tofauti na CUF wakati ilipokuwa ikiongoza kambi...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Miaka imekwenda na miezi haigandi tangu Mchungaji Christopher Mtikila alipoleta hoja ya kuwa na Serikali ya Tanganyika. Bungeni ikajadiliwa na kuzaliwa kundi ya G50. Kundi hili lilisakamwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana JF, naomba maoni yenu juu ya huu muungano. zanzibar wamejitangaza ni nchi, kama ni hivyo vipi wabunge kutoka nchi nyingine waje kuwakilisha tena kwenye bunge letu la bara mantiki yake ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) ameachwa katika uteuzi wa wabunge wa viti maalumu licha ya kuomba huku makamu wake, katibu mkuu wake, naibu katibu...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Mimi ndio wa kwanza kukutana na obama.!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wengi twamfahamu Katibu mkuu wa SISIEM anayesadikiwa kuwa na "mdomo mchafu" kuliko wote ambao wamepata kushika wadhifa huo. Wadau wengi baadhi wakiwa wanachama hai wa mapinduzi wanamshutumu kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeota ndoto kuwa Mizengo Pinda si Waziri Mkuu ajaye. Atakayekuwa PM ni mtu aliyekuwepo serikalini asiye na jina ambaye kuwepo kwake ni kama yupo...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Uamuzi wa CCM kuwaengua wagombea wa jinsia ya kiume katika kinyang'anyiro cha uspika kwa kisingizio cha kujali jinsia ya kike unaonyesha wazi jinsi utawala wa kikomunisti ulivyo mbaya. Kwa maamuzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hata, Police wakininyima Kibali, maana naona Kova hakubali kutoa kibali cha kuandamana, wakati ni haki yangu kwani ni ya amani, nitaandamana peke yangu na bango langu kubwa la kupinga matokeo ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je limeshatangazwa? Kama kama hivyo naomba link?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
President Jose Manuel Barroso of the European Commission has congratulated President Jakaya Kikwete on his reelection as President of the United Republic of Tanzania. In his message, President...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wana kaya kuna tetesi katika pita pita yangu kuwa mkuu wa kaya anataka kumpatia mh. 6 uwaziri fulani ilikumpoza na machungu ya kukosa nafasi ya kugombea uspika wa JMT kwa tiketi ya ccm.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Spika ndo huyo, SS EM wanaanda mpango wa 2015 kwa wateule wao wenye uchu wa madaraka hata kwa kudhani wa TZ ni mafara wa karne hii.Wabunge CHADEMA hakuna kulaza damu,wasomi kibao,uwezo wa kujenga...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Tazameni ndugu zangu, Huko CCM palikuwa na watu wachache waliokuwa ni watetezi wa watu. Mmojawapo niliyemwona akifanya hiyo kazi pamoja alikuwa bado kwenye chama cha mafisadi alikuwa mheshimiwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
" Ikulu Si mahala pa kukimbilia, hakuna bishara Ikulu" Julius K Nyerere
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau vumbi la viti maalum ubunge limetua,sasa hivi viti vya udiwani vinapatikanaje?yaani ni fomula gani itatumiwa na tume?mwenye data namna vinapatikanaje amwage hapa!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
PARLIAMENTS THAT WORK JAPAN MEXICO RUSSIA INDIA TAIWAN TURKEY SEE WHAT HAPPENS IN THE TANZANIAN PARLIAMENT. PEACEFUL, HARMONIOUS AND NO DISTURBANCE
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zanzibar ninavyo ifahamu ina ukubwa wa kilomita za mraba 2643 sawa na ukubwa wa kama jimbo moja au mawili ya huku bara na kwa sensa ya 2002 ilikuwa na idadi ya watu 1070000 sawa na idadi ya wilaya...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Barua Ndefu ya Wazi kwa Jakaya Jenerali Ulimwengu Novemba 10, 2010 Mwaka 2005 siku chache baada ya Jakaya Kikwete kushika madaraka ya Rais wa Tanzania kutokana na uchaguzi uliompa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom