Watoto wa mafisi wanawashabikia baba zao kwa ubadhirifu wanaoufanya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto wa mafisi wanawashabikia baba zao kwa ubadhirifu wanaoufanya

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Gbollin, Nov 3, 2010.

 1. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  KATIKA KUONYESHA KWAMBA HATA WAO HAWAWEZI KUBADILIKA WATOTO WA MAFISADI BADO WAMEENDELEA KUWA NA WAO MAFISADI AU WAMEENDELEA KUSHANGILIA BABAZAO JINSI WANAVYOHUJUMU UCHUMU WETU. MFANO, MIRAJI KIKWETE,RIDHIWANI KIKWETE,JANUARY MAKAMBA NA NAKAAYA SUMARI. UPUUUUUUUUUUUUZZII MTUPU.  Ningekuwa na gun ningewa-shoot:)))))))))))))))
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hujui twaelekea kuwa nchi ya kifalme mambo ya baba na mwana
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  Nakaaya nae ni mtoto wa kigogo?.....:nono:
   
 4. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kabisa.
  Jana nilikuwa na argument kubwa na mtoto wa mafisadi na nilikuwa muwazi na nilisimama kwenye ukweli kwamba kama si wizi wa baba yake asingekuwa kama alivyo. Nilimtahadhalisha kuwa iko siku baba yake atakuwa nje ya system kwa nguvu ya wananchi. Nilimuonyesha mifano halisi.
   
 5. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hawa wezi watoto wanajidanganya. Wangekuwa na akili sawa sawa wangesoma yaliyotokea baada ya jambazi Mobutu au Bokassa kupigwa teke. Huu ni ufalme wa mchwa ambao tunapaswa kuuangamiza kwa nguvu zote.
   
 6. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hawa wezi watoto wanajidanganya. Wangekuwa na akili sawa sawa wangesoma yaliyotokea baada ya jambazi Mobutu au Bokassa kupigwa teke. Huu ni ufalme wa mchwa ambao tunapaswa kuuangamiza kwa nguvu zote. Kuna siku tutawaapiga teke tu.:llama::llama::llama::llama:
   
 7. j

  jensen Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yes
   
 8. m

  mwalimumpole Member

  #8
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sure
   
 9. Elinasi

  Elinasi Member

  #9
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  nasikia wana majumba kadhaa ya maghorofa mijini huko!Taratibu tutafika tu
   
 10. l

  luckman JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  that right! acha wajiandalie mazishi yao!
  hivi haka kajamaa eti ridh1 hivi ni nani hapa nchini!
  mbona akina dk mwinyi wana tittle kubwa na shule nzuri lakini hana mbwembwe!
  namhurumia sana!!!!!!!!!!!!!
  anyway nguvu ya umma ipo karibu sana kudhihirika!
  tujifunge mkanda finaly we eill get there!
   
 11. l

  luckman JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Msimamizi wa uchaguzi Shinyanga Mjini atoweka katika mazingira tatanishi
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,656
  Trophy Points: 280
  A son of a cobra is a cobra......................na mtoto umleavyo ndivyo akuavyo................................
   
Loading...