kabila01
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 4,235
- 4,905
Tokea jana kila nikipita mjini watu wapo busy na shughuli zao na mji upo kimya kama vile leo hakuna tukio muhimu la kuapishwa Rais wao kipenzi aliepita kwa kura za kishindo/tsunami. Watu wengine wakiwa kwenye daladala ndo wanashangaa wanaposikia radio ikitangaza.