Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Wadau naomba maoni yenu. Mimi naona Mizengo Pinda hatarudi tena kuwa waziri mkuu bali kundi la mafisadi wataingia sawa sawa kuchukua nchi na kufanya wakalo knowing ni kipindi cha mwisho cha Mkubwa wao
0 Reactions
436 Replies
36K Views
Kikwete anayeendekeza ufisadi na uongo simtambui kama rais wa Tanzania.
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Hivi JK anaweza kutangaza Mzanzibar kuwa waziri mkuu? Katiba inasemaje kuhusu hili?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo hakika hamad rashid amethibitika kuwa mnafiki.anataka kuungana na mrema? Anabeza kitendo cha kutotambua rais,hajui ni vipi lipumba kamzidi seif kura zbar? Jbu lipo kwenye muafaka wa kifisadi...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kutokana na wizara nyingi kuwa na mwingiliano wa kimajukumu na kusababisha gharama kubwa zisizo za lazima wala tija kwa watanzania, natamani wizara hizo zivunjwe kabisa au ziunganishwe na wizara...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Rostam Aziz amejitetea huku akimnyanyapaa Dr. Slaa kuwa ni mzushi na anazeeka vibaya lakini utetezi wake Bwana Rostam ya kuwa alikuwa Afrika ya Kusini wakati tarehe za hicho kikao cha kupanga...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Kwenye CCM ya Nyerere, ushindi huu mdogo wa CCM .ungesababisha baadhi ya watu kuwajibika ili kuleta heshima mbele ya jamii. Lakini kwa UONGOZI WA SASA WA CCM hilo ni gumu kufanyika, labda kutokana...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Aliyemtusi JK mbaroni LABDA WATU HAWAJUI METHALI... """POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imemtia mbaroni mgombea ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya CHADEMA, Dickson Ng’hili, kwa tuhuma...
0 Reactions
60 Replies
11K Views
1. Serikali Kuu, Chini ya Rais 2. Mahakama Chini ya Jaji Mkuu 3. Bunge Chini ya Spika Je kuna implication gani kama chama cha siasa chenye viti bungeni kikikataa kumkubali au kumtambua Rais...
1 Reactions
1 Replies
40K Views
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ina matoleo mengi mpaka sasa. Kwenye duka la serikali wanauza toleo la mwaka 2005 (Kiswahili) kwenye tovuti ya serikali kuna toleo la mwaka 2000...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana JF pamoja na kujua kuwa kuna watu wangependa muungano wa Tanganyika na Zanzibar uendelee kuwepo nimeona nilete hii mada hapa ili nipate mawazo ya wadau wa JF juu ya muungano huu amabao...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF na watu wote wenye mapenzi mema na Tanzania, naomba mnijulishe ni nini tunaweza kufanya kama week ijayo Rais akimteua mshikaji wake E Lowasa kuwa Waziri Mkuu. Au je katiba ya nchi...
0 Reactions
87 Replies
8K Views
  • Closed
Wakuu, Kadiri siku zinavyokwenda ndivyo idadi ya watumiaji na watembeleaji wa mtandao huu wanavyoongezeka. Tungependa kutoa ufafanuzi juu ya mambo kadhaa ambayo watumiaji wa mtandao huu...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
NDUGU WANA JF MIMI BADO NAJIULIZA KILA SIKU IENDAYO KWA MUNGU,KUWA KWANINI TUNA SELIKARI YA MUUNGANO NA SELIKARI YA MAPINDUZI YA ZANZIBARI? KWANI MUUNGANO ULIHUSISHA NCHI NGAPI MPAKA SASA LEO...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
...Kwa kuwa ni kawaida ya binadamu kusahau; japokuwa si watu wote wanaosahau historia. Kumbukizi zinaonesha kwamba, Muafaka wa Zanzibar uliyopelekea kupatikana kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hatimaye kile watanzania walichokua wanakisubiri kuhusu ule mchakato wa kupata jina teule la waziri mkuu ni kitendawili! Jina limechelewa kutolewa kutoka ikulu, kwahiyo watanzania tuwe na subira...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa maoni yangu CCM bado wanaamini dawa ya kuwaongoza watanzania milele ni kutowapa elimu, na kuwapandikizia viongozi wasiowapenda. Hii inaonekana kwenye majimbo mengi ambayo kuna wabunge wamepita...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimepata pigo kwa kufiwa na Katibu wake wa Wilaya ya Babati, Bi. Tuli Mwang’amba anayeaminika alifanikisha kampeni za ubunge wa jimbo la Babati Mjini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SIKU chache baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu, wanachama wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Bilele, Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wamefukuzwa uongozi na kunyang'anywa kadi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuwa nafuatilia kwa ukaribu tangu mchakato wa uchaguzi wa Spika na Naibu Spika. Kama sikosei, Mh Jenista Mhagama alikuwa mgombea pekee (CCM) kwa nafasi ya unaibu wa spika hadi siku ya mwisho...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom