Kwanini tuna selikari ya muungano na ya mapinduzi ya nzanzibar?

engmtolera

Verified User
Joined
Oct 21, 2010
Messages
5,094
Likes
71
Points
145

engmtolera

Verified User
Joined Oct 21, 2010
5,094 71 145
NDUGU WANA JF MIMI BADO NAJIULIZA KILA SIKU IENDAYO KWA MUNGU,KUWA KWANINI TUNA SELIKARI YA MUUNGANO NA SELIKARI YA MAPINDUZI YA ZANZIBARI? KWANI MUUNGANO ULIHUSISHA NCHI NGAPI MPAKA SASA LEO TUNA HAO WAKUU WA NCHI WAWILI? NAJIULIZA YU WAPI RAISI WA TANGANYIKA? NA HUYU WA MUUNGANO MBONA MALA KWA MALA NAMSIKIA AKIWA HUKU TANGANYIKA NA KAMA ATAENDA ZANZIBAR NI MALA MOJA TU TENA KWA KAZI MAALUMU,
NAOMBA WANA JF MNISAIDIE NIJUWE KWANINI TUWE NA SELIKARI YA MUUNGANO,SELIKARI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR NA HAKUNA SELIKARI YA TANGANYIKA KAMA ILIVYO ILE YA ZANZIBAR,NIELIMISHENI NIJUWEEEEEEEEEEEEE

MAPINDUZIIIIIIIIII DAIMAAAAAAAA:israel:
 

Forum statistics

Threads 1,203,210
Members 456,663
Posts 28,104,621