Elections 2010 Natamani Wizara hizi zivunjwe!

Annina

JF-Expert Member
Nov 15, 2009
437
225
Kutokana na wizara nyingi kuwa na mwingiliano wa kimajukumu na kusababisha gharama kubwa zisizo za lazima wala tija kwa watanzania, natamani wizara hizo zivunjwe kabisa au ziunganishwe na wizara nyingine zinazoendana kimajukumu ili kuleta tija.

Kwa mfano wizara ya viwanda na biashara majukumu yake yanafanywa pia na wizara ya mambo ya nje (wana idara ya biashara),wizara ya kilimo (idara ya masoko) natamani wizara hii ivunjwe na idara zake ziunganishwe mambo ya nje na kilimo.Wizara ya Vitoweo na Wizara ya Maji na umwagiliaji ziunganishwe na Wizara ya kilimo, Wizara ya maendeleo ya jamii na Wizara ya kazi ama ziunganishwe au zivunjwe na idara zake zihamishiwe kwenye wizara nyingine zinazoendana kimajukumu, Wizara ya ardhi na miundombinu ziunganishwe nk nk
 

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,298
2,000
Wizara zaiaundwa kumridhisha Rais kuliko mahitaji ya nchi...wenzetu wizara zimo ndani ya katiba na si suala la mtu mmoja

Cheki hii ya Ireland:


Taoiseach (Prime Minister)
Tánaiste (Deputy Prime Minister)
 1. Agriculture, Fisheries and Food
 2. · Communications, Energy and Natural Resources
 3. · Community, Equality and Gaeltacht Affairs
 4. · Defence
 5. · Education and Skills
 6. · Enterprise, Trade and Innovation
 7. · Environment, Heritage and Local Government
 8. · Finance
 9. · Foreign Affairs
 10. · Health and Children
 11. · Justice and Law Reform
 12. · Social Protection
 13. · Tourism, Culture and Sport
 14. · Transport
 

Audax

JF-Expert Member
Mar 4, 2009
443
195
hivi mimi nimeshangaa sana, eneo la zanzibar tu-wizara zote zile za nini kama cyo kutumia pesa za wlipa kodi bure? Kinachotufanya tuwe maskini ni marumizi yasiyo ya lazima.Utendaji wa kazi zero-kujuanana ubinafsi ndo vinadidimiza maendeleo yetu
 

Annina

JF-Expert Member
Nov 15, 2009
437
225
Wizara zaiaundwa kumridhisha Rais kuliko mahitaji ya nchi...wenzetu wizara zimo ndani ya katiba na si suala la mtu mmoja


Umesema sawa, lakini muungwana ameahidi kuwa na baraza dogo, sijui litakuwa dogo kwa maana ipi lakini nadhani atapunguza idadi ya wizara. Ili kupunguza idadi kuna zitakazovunjwa au kuunganishwa, matamanio yangu ni kuona nilizozitaja zinavunjwa au kuunganishwa kwa sababu hazina tija. Nakubaliana na wewe, nadhani umefika wakati sasa watanzana tusimamie suala la wizara liwe kwenye katiba badala ya mtu kuamka na kuunda wizara kutokana na masilahi yake na washirika wake
 

Annina

JF-Expert Member
Nov 15, 2009
437
225
hivi mimi nimeshangaa sana, eneo la zanzibar tu-wizara zote zile za nini kama cyo kutumia pesa za wlipa kodi bure? Kinachotufanya tuwe maskini ni marumizi yasiyo ya lazima.Utendaji wa kazi zero-kujuanana ubinafsi ndo vinadidimiza maendeleo yetu


Mi pia nimeshangaa, halafu nyingine kacopy za huku bara kama viwanda, biashara na masoko na kilimo na umwagiliaji utafikiri huku bara wizara hizo zimefanya vizuri, yaani ni maslahi binafsi kwenda mbele
 

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,298
2,000
Hata kuwapiga picha ni kazi:

baraza+la+mawaziri+wapya+tanzania+kikwete.JPG
 

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,465
2,000
Nigeria vipi? mbona wapo wengi kupita sisi lakini wao wana wizara 18 na wapo milioni 151.
sasa sisi tupo 40 million nadhani tunahitaji wizara = (( 40 mil x 18 minis)/ 151 mil ) = 4.7 = 5.1. Federal Ministry of Agriculture and Water Resources
2. Federal Ministry of Commerce and Industry
3. Federal Ministry of Defence
4. Federal Ministry of Education
5. Federal Ministry of Finance
6. Federal Ministry of Health
7. Federal Ministry of Information & Communications
8. Federal Ministry of Justice and Attorney General
9. Federal Ministry of Labour and Productivity
10. Federal Ministry of Mines & Steel
11. Federal Ministry of of Culture, Tourism and National Orientation
12. Federal Ministry of Petroleum
13. Federal Ministry of Science & Technology
14. Federal Ministry of the Interior
15. Federal Ministry of Transport
16. Federal Ministry of Women Affairs
17. Federal Ministry of Youth Development
18. Ministry of Foreign Affairs.
 

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Dec 13, 2009
3,396
1,500

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,380
2,000
Wizara zaiaundwa kumridhisha Rais kuliko mahitaji ya nchi...wenzetu wizara zimo ndani ya katiba na si suala la mtu mmoja

Cheki hii ya Ireland:


Taoiseach (Prime Minister)
Tánaiste (Deputy Prime Minister)
 1. Agriculture, Fisheries and Food
 2. · Communications, Energy and Natural Resources
 3. · Community, Equality and Gaeltacht Affairs
 4. · Defence
 5. · Education and Skills
 6. · Enterprise, Trade and Innovation
 7. · Environment, Heritage and Local Government
 8. · Finance
 9. · Foreign Affairs
 10. · Health and Children
 11. · Justice and Law Reform
 12. · Social Protection
 13. · Tourism, Culture and Sport
 14. · Transport

Naunga Mkono hoja ya mjumbe hapo juu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom