Mkataa pema pabaya panamwita


engmtolera

Verified User
Joined
Oct 21, 2010
Messages
5,094
Likes
71
Points
145

engmtolera

Verified User
Joined Oct 21, 2010
5,094 71 145
Kwenye CCM ya Nyerere, ushindi huu mdogo wa CCM .ungesababisha baadhi ya watu kuwajibika ili kuleta heshima mbele ya jamii. Lakini kwa UONGOZI WA SASA WA CCM hilo ni gumu kufanyika, labda kutokana na kafara katika ngazi za chini badala ya kushughulikia masuala ambayo chama kimeshindwa kuyashughulikia.Kigezo cha kura za maoni si kipimo pekee cha matokeo mabaya ya CCM katika uchaguzi uliomalizika,Ndani ya CCM, kwa takribani miaka mitano, wapo waliosema kama Mwalimu na wanastahili kuimbwa kama alivyoimbwa lakini hawakusikilizwa KWANI WANA CCM WALIKATAA PEMA SASA PABAYA PANAWAITA KWA KUTO KUSIKILIZA USHAURI ULIOTOLEWA NA JAMII KWA UJUMLA

Chama Cha CCM sasa kinakataliwa sehemu nyingi nchini.Si sahihi kudhani hii ni kwa sababu ya kura za maoni,kwani wananchi wamekichoka chama kutokana na mambo yake na watu wake wanaojari chao zaidi kuliko jamiii,
tulidhani labda vijijini wasingeweza kubadilika kwa kuwapigia ccm kura lakini imekuwa tofauti na matarajio ya wengi hasa wana ccm wenyewe

NDUGU WANA CCM SIJUI KAMA MNALIONA HILO LA KUKATALIWA HADI VIJIJINI AMA MMEZIBA MASIKIO,HAMJUI KUSOMA NA HATA PICHA HAMUONI?

MIMI KWA UJUMLA NIWAPONGEZE CHADEMA KWA CHANGAMOTO WALIZOLETA NA NI IMANI YANGU KUWA KWA MWELEKEO HUU WA CHADEMA,WENGI WATASHANGAZWA 2015

MALA NYINGI MKATAA PEMAAAAAAA PABAYAAAA PANAMWITAAAAA

Mapinduziiiiiiiii daimaaaaaaaaa.
 

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Messages
7,695
Likes
177
Points
160

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2008
7,695 177 160
Angalia usije ukaambiwa umemtukana mh. Mwenyekiti. Maana yule jamaa alitoa mfano wa methali kama hivi akaambiwa amemtukana rais wa nchi.
 

Forum statistics

Threads 1,205,234
Members 457,767
Posts 28,186,514