JK anaweza kumtangaza PM Mzanzibari?

Chupaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2008
Messages
1,074
Likes
177
Points
160

Chupaku

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2008
1,074 177 160
muanzisha thread hii, si ungeunganisha tu swali lako ktkt thread zingine zinazozungumzia ishu hii. MODS am confused, ni ipi niifuate inipe taarifa sahihi?
 

Maundumula

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
7,052
Likes
84
Points
145

Maundumula

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
7,052 84 145
Hayo mambo ya huyu akitoka bara huyu atoke zenji au rais muislam PM mkristo inatuzingua sana, itasababisha tupate viongozi wabovu.

Naomba tuachane na hili swala Nyerere alisema hailipi kabisa
 

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
3,822
Likes
33
Points
0

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
3,822 33 0
Tanzania haina katiba wala haifuati desturi, iliyopo ni viraka vitupu na rais akitaka kufanya uamuzi wowte anweka kiraka chake. Kama ingelikuwa desturi, ingebidi ateue mkristo kuwa waziri mkuu, lakini kwa kuwa hata yeye na Mkapa walipochaguliwa kwa mara ya kwanza ile desturi ya kupishana urais kati ya TZBara na TZ ZNZ iliwekwa upande. Kwa ufupi, anaweza kufanya atakavyo kwa sababu uamuzi wowote ataotoa haumo katika katiba.
 

Forum statistics

Threads 1,203,555
Members 456,824
Posts 28,118,628