Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

Status
Not open for further replies.

Kagalala

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
2,403
1,125
Wadau naomba maoni yenu. Mimi naona Mizengo Pinda hatarudi tena kuwa waziri mkuu bali kundi la mafisadi wataingia sawa sawa kuchukua nchi na kufanya wakalo knowing ni kipindi cha mwisho cha Mkubwa wao
 

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
18,318
16,672
MP alichimbwa mkwara na JK kwamba asipohakikisha jimbo la Sumbawanga Mjini linabaki CCM hatapata uwaziri mkuu, ndipo akawazuia wasimamizi kutangaza matokeo na akaweka kikao nao, matokeo yakageuzwa na kutangazwa saa sita usiku. Huenda JK akamtimizia ahadi aliyompa.
 

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,704
8,814
Hafai kabisa huyu jamaaa, Yani nilikuwa namtegemea sana, Ila nimegundua ni MUOGA SANA, Ameshindwa KUTHUBUTU kazi kulalalmika tu na kulia!
 

mudushi

Senior Member
Oct 19, 2010
151
75
Pinda lazima apewe maana yeye hafikirii lolote km URAIS 2015. Kikwete anamhitaji mtu km Pinda si km Lowasa mwenye UCHU wa URAIS 2015. Pinda Waziri mkuu ni wake tu
 

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
Duru ndo hizo sasa,tusubiri tu baada ya kukosa Uspika SS ndo anaenda kwenye UPM.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Top Bottom