Hivi huku si kuminya haki?Jaji Werema jibu hili

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
10,942
5,886
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ina matoleo mengi mpaka sasa. Kwenye duka la serikali wanauza toleo la mwaka 2005 (Kiswahili) kwenye tovuti ya serikali kuna toleo la mwaka 2000 (Kiswahili) na mwaka 1998 (Kiingereza) National Website of the United Republic of Tanzania. Sasa kutuwekea kwenye tovuti matoleo yaliopitwa na wakati maana yake ni nini?

Ukute Jaji Werema ambaye ni mwanasheria mkuu wa serikali halitambui hili wakati yeye ndiye anayesimamia matoleo haya na ndio maana badala ya kusema 'it is stipulated ....' anasema 'I think ....'
 

sensa

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
397
20
Angekuwa anafanya kazi kwa maslahi ya taifa angeshaliona manake haiingi akilini AG hajui kama kuna matoleo tofauti ya katiba,ila kwa vile anatumikia maslahi ya mafisadi halimhusu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom