amba.nkya
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 446
- 131
Nimekuwa nafuatilia kwa ukaribu tangu mchakato wa uchaguzi wa Spika na Naibu Spika. Kama sikosei, Mh Jenista Mhagama alikuwa mgombea pekee (CCM) kwa nafasi ya unaibu wa spika hadi siku ya mwisho kurejesha fomu. Nashindwa kuelewa imekuaje Mh. Jenista Mhagama kutogombea unaibu Spika na badala yake Mh Job Ndugai? Na kwanini waliongeza muda wa kurejesha fomu kwa wagombea wengine wakati muda ulikwisha?
WanaJF wenye uelewa wa suala hili, naomba ufafanuzi zaidi.eep:
WanaJF wenye uelewa wa suala hili, naomba ufafanuzi zaidi.eep: