Mihimili MITATU ya DOLA

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Aug 15, 2008
680
195
1. Serikali Kuu, Chini ya Rais
2. Mahakama Chini ya Jaji Mkuu
3. Bunge Chini ya Spika

Je kuna implication gani kama chama cha siasa chenye viti bungeni kikikataa kumkubali au kumtambua Rais wa nchi aliyeapishwa kikatiba kuongoza nchi, na

Nini kazi ya:-

Serikali kuu Chini ya Rais
Mahakama chini ya Jaji Mkuu
Bunge Chini ya Spika

Wasalaam
BNN
 

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,694
2,000
Hili linahusika sana kisheria. Hapa ndipo tunawahitaji wana sheria wakina Buchanan kuja na sheria zao
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom