Mzalendo80
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,508
- 1,334
Kikwete anayeendekeza ufisadi na uongo simtambui kama rais wa Tanzania.
Achane kupost upumbavu na chuki binafsi .eti hamtamtambua kikwete na aliapishwa tayari kama raisi.hv watu wengne wazima au akili zimeruka kdg.Mtake msitake JAKAYA MRISHO KIKWETE ni Rais kwa miaka mingne mi5
Kikwete anayeendekeza ufisadi na uongo simtambui kama rais wa Tanzania.
Nilishamkataa kama rais wangu siku tume ilipochakachua matokeo. Anayemtaka kama rais wake shauri yake. Silazimiki kumkubali.Kikwete anayeendekeza ufisadi na uongo simtambui kama rais wa Tanzania.
Kikwete anayeendekeza ufisadi na uongo simtambui kama rais wa Tanzania.
Mshikaji acha masihara dola ni dola hata kama ya Uchafu ukitaka subiri ifike 2015 ndo uanze hizi. unakumbuka zanzibar CUF walijifanya hawamtambui karume nini kilitokea !!!!!!!!!!!!!! mwisho waliamua kumtambua tu leo wamesubiri jamaa ameukwaa umakamu wa pili wa rais sijui wa jamuhuri ya muungano au Zanzibar?????????/ Lakini the issue is mashindano ni mashindano aliyefunga goli anachukuwa point 3 awe amefunga kwa kichwa au kwa mkono cha maana goli limeingia.