JamiiForums: Msimamo wetu na maelezo kidogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JamiiForums: Msimamo wetu na maelezo kidogo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Sep 24, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Kadiri siku zinavyokwenda ndivyo idadi ya watumiaji na watembeleaji wa mtandao huu wanavyoongezeka. Tungependa kutoa ufafanuzi juu ya mambo kadhaa ambayo watumiaji wa mtandao huu wanatakiwa kufahamu:

  1. JamiiForums ni mtandao ambapo mtu yeyote anayejisajili anaweza kuanzisha hoja (user generated content) hivyo maoni yanayotolewa na wadau tofauti ni misimamo yao na hayawakilishi maoni ya waendeshaji na waratibu wa mtandao huu kwa namna yoyote ile. Waendeshaji wa mtandao huu wapo kusimamia sheria zilizowekwa pamoja na kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa.
  2. Waendeshaji wa mtandao huu hawataweza kukuzuia kama mtumiaji kutumia mtandao huu bila kuvunja sheria zilizowekwa au kama hujakosea kulingana na maelezo haya.
  Tunatoa tahadhari kwa wale wenye kudhania JamiiForums ipo kisiasa na kila kitu ni siasa tu kuwa jukwaa hili lipo na maeneo tofauti, kama huziwezi siasa basi achana nazo na ingia eneo unaloona unastahili.

  Hatutowavumilia wale wanaotaka kuharibu mijadala makusudi ili aidha kuwakatisha tamaa washiriki au kuligawa taifa kwa udini, ukabila au rangi.

  Kwa pamoja tunaweza kushirikiana kuhakikisha JamiiForums inabaki kuwa sehemu nzuri na ya kushiriki mijadala anuai bila kukerana au kuchafuana.

  Kama umejisajili, unaweza kutufahamisha hoja yoyote unayoona inapelekea kuvurugika kwa mjadala (si kuijibu wala kuinukuu) kwa kubonyeza alama ya REPORT ABUSE kwenye hoja husika.

  Tunaendelea kusisitiza kusoma hoja hizi kwani tunaamini zitarahisisha kuelewa nini kinafanyika hapa na kwanini:

  1. JamiiForums Rules
  2. How to use JamiiForums effectively
  3. JF: Majina bandia na uhuru wa maoni
  4. Topic gani hufungwa au kufutwa kabisa JF?
  Kama una maswali wasiliana nasi tukusaidie haraka iwezekanavyo kupitia: support@jamiiforums.com
   
 2. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2010
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  MH Invisible ( Mwakisi kwa Kinyalu)

  Wakati mwingine tukijadiri siasa ni lazima tuchapane bakora wenyewe kwa wenyewe hapa mtandaoni kuwekana sawa.
  Hata hivyo tupo pamoja, tunajadiri hoja pamoja kwa approach tofauti na wakati mwingine tunathubutu kukalia kuti kavu.

  kila kitu kinaVibrate kwenye frequency yake at Resonance wimbi ni lazima liongeze Amplitude. Ni kawaida kabisa na ni jambo asilia.
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Imekuwaje tena, mbona hivi!?
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,932
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  thanx mkuu, asietaka kuelewa ujumbe huu ana lake jambo.
   
 5. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Eee unauliza tena imekuwaje ?
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,103
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 280
  ni sawa mkuu
   
 7. W

  We can JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 676
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  I think this is a good advice for the betterment of the forum.
   
 8. Kahabi wa Isangula

  Kahabi wa Isangula JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mkuu nawezaje kuingia katika Jukwaa la Mambo ya Kikubwa...at my own risk!
   
 9. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,036
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Thanks for the reminder mkuu Invisible.
   
 10. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Tena uzingatie.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...