Nimekuwa nafuatilia kwa ukaribu tangu mchakato wa uchaguzi wa Spika na Naibu Spika. Kama sikosei, Mh Jenista Mhagama alikuwa mgombea pekee (CCM) kwa nafasi ya unaibu wa spika hadi siku ya mwisho...
Wafuasi wa CCM wampiga m/kiti wao Send to a friend Mwananchi: Monday, 15 November 2010
Joyce Joliga, Songea
MWENYEKITI wa CCM wa Kata ya Bombambili, katika Manispaa ya Songea, Alphonce Haule...
Kama kuna kitu kinanisikitisha, ni kuona wana-JF wanaotupia lawama kwa CHADEMA kwa kutomtambua Rais. Wengine wakidai, kama CHADEMA haimtambui Rais, basi haina haja ya wao kuruhusu wabunge wao...
Ndugu WaJF taarifa kutoka mtaani zinaonyesha kuwa bei za bidhaa mbali mbali zimepanda maradufu mara tu baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010; Kama tutakavyokumbuka suala...
Wana Jamii, Mbowe, Ndesapesa na wengineo kwenye CHADEMA (CCM ni mpaka Kikwete achilia hawa wengine)nao waombe mungu siku sheria ya KUTENGANISHA BIASHARA NA SIASA kipitishwa hatutawasikia tena...
Leo kwenye Channel Ten jamaa wa SYNOVATE wamejitokeza na kudai kipaumbele chao kwenye uchaguzi huu kilikuwa ni amani bila ya kueleza wao wangeliweza kufanya nini kuimarisha amani...
Wakati mwaka 2005 kazi ya kutaja wabunge wa kuteuliwa na Rais kwa mujibu wa katiba ilikuwa rahisi mno kazi hiyo mwaka huu inaonekana ni ngumu na ndio itakayo mtoa au kumtosa kabisa JK.
Mwaka...
Katika pitapita zangu jijini Dar nimegundua kitu kimoja kilichonishangaza. Hawa mabalozi wa nyumba kumi-kumi wa CCM ni vikongwe, wengi wao tayari wamo, au wanaingia katika umri wa miaka 70 au...
Chadema imetetea jimbo la Mpanda Mjini, CCM imepata majimbo ya Nkenge, Mpanda Vijijini na Magogoni Zanzibar, CUF wamepata Jimbo la Mtoni, Mwanakwerekwe na Wete.
CUF imeongeza majimbo mawili...
Jasson Kaishozi nilimjua hivi:
Shule ya Sekondari (O-Level)------------Ihungo 1982-1985
Shule ya Sekondari (A-Level)------------Umbwe 1986-1985
UDSM BA Ed...
Naomba kujua kama huyu jambazi naye alikula kiapo cha ubunge maana alichakachua kura na lazima uchaguzi urudiwe, vinginevyo hataweza kutawala jimbo letu la Segerea.
Leo ktk vipindi vya magazeti,pote tbc,itv,na cten, walipokuwa wanakutana na habari ya chadema kutomtambua kikwete wanastuka na kusoma hovyo kama wamebugia uji bila kustress maneno.nadhani huu ni...
Nipo tayari kutaja majina ya mahafisa usalama waliohusika katika kuvuruga uchaguzi kama majina hayo yatahitajika mahakamani-dk.Slaa azungumza akiwa Dodoma
Heshima kwenu wakuu
Jana usiku nilikuwa nikiangalia Chanel Ten, ndipo akaingia Sheikh Yahaya hussein na mambo yake, kwa kifupi mzee huyu alikuwa akimfagili JK kwa ushindi wake, alidiliki...
Wanajamvi,
Hawa ndiyo wapiganaji wetu huko bungeni yaani wabunge wa CHADEMA na picha zao kwenye website ya bunge. Hata mimi nilikuwa siwajui wote sura zao...
Ndugu zangu,
KAMWE huwezi kukausha maji yatokanayo na chemchemi kwa kumwagia mchanga.
Na kuna namna mbili za mwanadamu kuula mkate, ama aukate slesi ( Slices) kwa maana ya vipande...
Educated or Enlightened?
Epictetus, who lived from A.D. 55 to about A.D. 135,
said, "Only the educated are 'liberated'."
Admittedly, there is truth in what Epictetus said. For
one thing...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.