Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

:thinking: Kulikua na Ulazima Gani Makame Vyatu vya Kivuitu?? Nilivyodhania ni kwamba mtu yeyote katika ngazi ya Ujaji, hata kama kastaafu, ni rafiki mkubwa dhahabu inayoitwa HAKI. Na kwamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MWISHONI mwa wiki kulitokea matukio mawili ya kihistoria yanayohusu wanawake ambayo yaliigusa nafsi yangu. Moja lilitokea huko Burma na la pili lilitokea hapa nyumbani. La huko Burma lilihusu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hatimaye rais ataapishwa! Edward Kinabo ENYI wana wa Tanzania, mnaolia kwa uchungu wa kupewa rais msiyemtaka, yule mnayemwita rais wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
bila shaka unapokuwa na unajivunia kitu flani lazima kiwe kinakusaidia na kukuwezesha kupata maendeleo.sasa tz tunaambiwa tunaamani tena ya muda mrefu tu,lakini leo Rwanda tukicheza nao mpira...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi aliyekuwa waziri wa ulinzi imekuwaje mbona hata udiwani hajagombea?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilivyomuona Shariff Hamad akiyapokea matokeo na kutoa pongezi kwa Shein, ilikua kama alishayajua matokeo muda mrefu tu..... Na ukiiangalia picha hii (toka michuzi blog) Mshindi na mshindwa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kuna tetesi kutoka kwa washkaji kutoka kanda ya kati kuwa kitendo cha 6 kuchakachuliwa uspika kimemuuma sana, habari zinasema kuwa anadai kuwa alichokuwa ameambiwa na EL kuwa hatakuwa Spika wa...
0 Reactions
68 Replies
8K Views
naomba mtaniwia radhi wana JF hii ni post yangu ya kwanza kbs hapa JF ingawa nilijiunga zamani kdg, napenda kujua kwa wale wanao jua mambo yaliyo chini ya kapeti, hivi shamsi vuai nahodha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamvi wenzangu naomba mwenye kujua historia ya mh S. SITA aiweke hapa ili niifahamu.. Kwangu namuona mwana mabadiliko kwa sehemu yake ktk jamii yetu ya Kitanzania, alikotokea kiutendaji kabla...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
http://http://www.youtube.com/watch?v=3L-3ayFRk1E&feature=related Mweyekiti wa CCM aliwaambia wanachama wake watafute wapiga kura ili apate kula zaidi ya Milioni 15,lakini matokeo ya uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo wakti nasikiliza vichwa vya habari vya magazeti nikasikia Gazeti la Uhuru linasema,"TUNDU LISSU ASHUSHULIWA''. Gazeti la Mwananchi likajinadi kwa kichwa cha habari ''TUNDU LISSU NA MNYIKA...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Huwa sisomi gazeti la HabariLeo, kwa sababu limegeuka kuwa la udaku. Je, huu ni mgao au? Ni mikoa gani hiyo?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Meghji: I was duped by governor Ballali -Minister comes clean on Kagoda Agriculture Limited payments saga THISDAY REPORTER Dar es Salaam THE Minister for Finance, Ms Zakia Meghji...
0 Reactions
352 Replies
38K Views
Tetesi kutoka kwa watu wa karibu na JK, baada ya kuwateua Zakia Meghji na Shamsi Vuai pia jina la LAWRENCE MARSHA limo kwenye list ya wabunge 10 wakuteuliwa
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Jana kwenye hotuba yake ya kulishukuru Bunge, Mheshimiwa Mizengo Kayanza Pinda alitoa changa moto ambayo alidai ndiyo yenye uwezekano mkubwa wa kumkomboa mkulima, mfugaji na mvuvi mdogo mdogo hapa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
CHADEMA imekonga mioyo ya Watanzania Barnabas Lugwisha HAKUNA ubishi kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetokea kuwa kipenzi cha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 16/11/2010 YAH: BARAZA KIVULI LA CHADEMA NDANI YA BUNGE NI BATILI HALINA SURA YA MUUNGANO Ndugu Waandishi wa habari, Napenda kuwaeleza kwamba sura ya...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Chama cha Cuf kimekufa,kimezikwa,kaburi lake lipo zanzibar,yatima wamebaki bara wakifarijiwa na chama chama cha majambazi.Hiki ndicho kinachooneka dhahiri baada ya uchaguzi na kinachoendelea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
JK amewateua wabunge 3 kati ya 10 aliyopewa kikatiba.Ktk uteuzi huo yumo shamsi vuai nahodha na zakia meghji.SOURCE tbc taifa.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom