Makatibu Wakuu Zanzibar
1. BARAZA LA MAPINDUZI
1. KATIBU WA BARAZA LA MAPINDUZI NA KATIBU MKUU KIONGOZI
DKT. ABDULHAMID YAHYA MZEE
2. NAIBU KATIBU WA BARAZA LA MAPINDUZI
ND. SALMIN AMOUR...
Jamani kuna mtu amenidokeza kuwa yule kijana wa kumtafutia JK vimwana nchi nzima sasa analipwa mafao yake na kuna jamaa wa karibu sana na yeye alinidokeza kuwa atateuliwa mbunge hivi karibuni na...
Kwa mujibu wa taratibu za uendeshaji wa nchi, Chama kilicho shinda na kuunda Serikali (yaani CCM )ndicho chama ambacho ilani yake inatatekelezwa kwa kipindi husika i.e 2010-2015. Kwa mantiki hiyo...
Wadau napenda kuuliza kama kama ifuatavyo: Tumezowea kuwa na marais wanaume tangu uhuru, ambapo wake zao huitwa FIRST LADIES. Kwa mfano ikatokea 2015 akapatikana rais mwanamke, je mumewe...
Katika mchakato wa uchaguzi mkuu uliopita na hata baada ya matokeo kutangazwa na wale ‘walioitwa' washindi kutangazwa katika nafasi ya Urais, Wabunge na Madiwani, kuna mambo mengi...
Kikwete alitegemewa na wengi kuwa raisi toka 1995 lakini Nyerere alikuwa na mtazamo tofauti na hivyo kutokana na ushawishi wake mkubwa akafanikiwa kumwekee ngumu. Basi Mkapa akawa rais...
Eti 6 kapewa uwaziri wa eac ili adili na mambo ya nje zaidi akigusa tu ya ndani wamwambie shughulikia ya eac sasa kwa kuwaumbua hao awalipe wazee wastaafu wa eac tuone watamweka wapi udiwani au...
..ni kutoipa misaada kabisa. Tafiti zinaonyesha kuwa Tanzania imekuwa inapokea missada na mikopo lukuki kwa miongo kadhaa sasa lakini hakuna mabadiliko makubwa.
Hoja inayotolewa siku hizi (na...
WALK THE TALK ALWAYS -
1. Kama walivyotekeleza kilio cha wananchi pale mjengoni kwa kumpa feedback mwenyekiti wa ccm Taifa, Hon.Kikwete kwamba hakufurahishwa na udikiteta uliotekelezwa na nec na...
Kama kuna kero ambayo wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wanaipata hasa kwa wamiliki wa magari ya abiria basi hili la kuchukua ushuru unaoitwa wa kuboreshwa kwa mji wa Songea.Kila barabara inayoingia mjin...
kumekuwapo na dhana kwamba RA ndo anyeongoza Nchi kwa ushawishi wake mkubwa kwa kikwete , ndani ya CCM's CC NEC na CCM - NEC yenyewe .Je kuna chochote walichopata/walichoshinda kuhusiaana na...
Wakuu nimesikitika sana na mpasuko wa KISIASA ulioko nchini hivi sasa nilidhani wanayozungumza watu ni ushabiki ila leo yamenikuta, gari niliyokuja nayo kazini kwenye kioo kikubwa, kwenye kioo cha...
Sadick Mtulya
ALIYEKUWA mgombea ubunge wa Jimbo la Segerea kwa tiketi ya Chadema, Fred Mpendazoe janaalipatwa na msukosuko wakati alipokamatwa na askari wa Jeshi la Polisi ambao walidai kuwa...
Baada ya aliyekuwa spika wa bunge lililopita Mh Sita kukwaa kisiki katika mchakato wa kuwania tena nafasi ya kuliongoza bunge kwa kipindi kingine, mengi yamekuwa yanasemwa juu ya jambo hili.
Ni...
Natoa pongezi na hongera zangu za dhati kabisa kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Toka wazo hadi udahili wa mwanzo mpaka leo tunashuhudia wahitimu wa mwanzo wa UDOM, yote haya katika kipindi...
Wanajamvi, jana niliweka kinachoendelea ktk kikao cha tahliso hapa chuo cha mipango dodoma, topic hii siioni jamani na nataka kuendeleza yanayojili hukuuuu..........
Nimemfuatilia kwa kipindi cha miaka mitano muheshimiwa Raisi Kikwete kwenye kila kwenye hotuba zake Luningani sintaacha kulipenda lile TABASAMU lake ambalo haliishi kila anapoongea na wananchi...