Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu wana JF, na wapenda maendeleo kwa ujumla. Napenda kutanguliza shukrani zangu kwenu kwa ushiriki weni huku kwenye mijadala ya humu JF na naomba tuendelee na mjadala huu. Naomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na uchunguzi wa mwanzo imeonekana Bwana Shitambala hana hatia juu ya kupokea mil 600 toka ccm na ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake kama M/kiti. Source: Dr. Slaa -TBC leo saa 2 usiku
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Salamuni wapendwa, Nafikiri muda umefika kwa sisi ambao wazalendo wa kweli kuonyesha uwepo wetu katika kuamua mustakabali wa nchi yetu. Ni wazi kuwa a group of Mediocres walioji organize tokea...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Pia wanatoka Chadema kurudi CCM. Mmoja tu aliwahi kutoka Chadema kuhamia CUF. Je hii inaonesha daraja za vyama vya siasa? Kama ndivyo, wakitoka NCCR watakwenda wapi?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nduguzanguni mie kama mtanzania mpenda amani ya nchi yangu nilikuwa nawasihi hawa ndugu zetu wanaCCM wasichochee hatari iliyopo mbele yetu katika hili jukwaa la siasa. CDM wamekwisha walk out...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Latest Polls Point to Signs of Change in Tanzania By Richard Whitehead* DAR ES SALAAM (IDN) – Tanzania's fourth multiparty elections on October 30, 2010 were, in some ways, not significantly...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Huu mpango wako Mkwere tumeushitukia. Tena sana tu. Kwamba Mkwere umeona vijana wa Tanzania hatukitaki Chama chako cha matajiri na mafisadi, umeanza harakati za kutuhadaa kwa kuteua vijana kuwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
CCM wanafanya juhudi kubwa kupita kiasi za kuhakikisha kuwa wanaendelea kuifisadi nchi katika mfumo wa chama kimoja. Kazi yao kubwa ni kuhakikisha kuwa wanadhoofisha vyama vya upinzani. Waliua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Lile gwiji la Sayansi ya Siasa toka Chuo Kikuu cha UDSM al-maarufu Benson Bana na mmoja wa viongozi wa Taasisi maarufu ya Utafiti ya REDET amebainisha kuwa CHADEMA WASIKILIZWE MAANA WANA HOJA YA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tukichagua viongozi kijuha, tutaongozwa kijuha, na tutaishi kijuha. - Ayoub Rioba (Mwananchi Jumapili) :attention: Nimeipenda dhana ya UJUHA na ikanikumbusha habari za Mfalme Juha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hawa NJAADEMA wananikumbusha NCCR-MAGEUZI na lyatonga miaka ya tisini. Halafu ukiangalia kwa makini utakuta wale ambao waliokuwa NCCR-MAGEUZI miaka ile ndiyo wale wale wamekuwa NJAADEMA leo hii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nashangazwa sana na mambo jinsi yanavyokwenda na nashidwa kuelewa nini maana yake.utakumbuka toka uchaguzi tar 31 ni wiki ya nne sasa,lakini yaliyofanyika hayaendani kabisa na muda wenyewe.mambo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Inasikitisha sana kuona kila unapofanyika uchaguzi mkuu wa kuwapata viongozi, maamuzi ya wananchi juu ya kuwachagua viongozi wao kuanzia Madiwani, Wabunge hadi Rais huwa hayaheshimiwi. Unakuta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inashangaza sana kusikia watu wanavyoishutumu CHADEMA hawna nidhamu, ooh wanasambaratika mara Zitto anajitoa CHADEMA,mara oo mpasuko ndani ya CHADEMA na blah blah nyingi 2. Ikumbukwe chadema ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Chanzo cha habari TBC1. Wandugu, Hao waheshimiwa wote wanasema chadema haikukiuka sheria yoyote kwa kitendo cha kususia hotuba ya jk.
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Kitendo cha CHADEMA kutoka Bungeni mbele ya mkuu wa kaya akihutubia ni kitendo cha ujasili uliopindukia. Maana watanzania wengi hatujui nini hasa Demokrasia inavyotakiwa kuwa. Ni kweli JK ni Raisi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sio siri uchaguzi mkuu wa wabunge na Rais wa mwaka huu 2010, umeacha maswali mengi na maeneo kadhaa ya Political analyst na Political Scientist kuyafanyia kazi. Moja ya eneo hilo ni IDADI NDOGO YA...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
kutokana na hali ya kisiasa nchini mimi naona ni bora tukirudi kwenye chama kimoja ,kwanza 20% tu ndio walitaka vyama vingi the rest hawakutaka.kwanza nani kasema demokrasia lazima iwe ya vyama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa kuwa chama cha CHADEMA ndicho kilichopata viti vingi vya ubunge na udiwani ktk mkoa wa kilimanjaro, na kwa mujibu washeria za nchi yetu CHADEMA ndio watakaounda serikali ya mkoa huu kwa hiyo...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kutoka kwa katibu wa mkoa wa KINONDONI, KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM, HENRY J KILEWO Kwa niaba ya chama cha demokrasia na maendeleo, CHADEMA, tunapenda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom