Kikwete's cabinet , has rostam,lowasa and co won anything ?

TanzActive

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
367
73
kumekuwapo na dhana kwamba RA ndo anyeongoza Nchi kwa ushawishi wake mkubwa kwa kikwete , ndani ya CCM's CC NEC na CCM - NEC yenyewe .Je kuna chochote walichopata/walichoshinda kuhusiaana na baraza hili lilotangazwa na kikwete hivi majuzi ambacho kinawasaidia katika mpango wa kumuweka mtu wao wa 2015 ? na watu wao katika hili baraza ni akina nani ?

Naombeni taarifa , i'm so scared with the power of controll RA has over JK ,CCM and so this country in general
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom