ukitaja ufisadi wowote mkubwa ambao unaliangamiza taifa hili na vizazi vinavyokuja huwezi kuutenga wizi na ufisadi huo na ccm,pia jaribu kuangalia harakati za mabadiliko yote ya kweli ndani ya...
Moja ya sifa kuu tuliyo nayo watanzania ni WEPESI KUSHAU NA KUSAMEHE. CCM na viongozi wake wanaoujua udahifu wetu huo. Mwaka Desemab 2005 wa hotuba yake ya kuzindua bunge Raisi Jakya Kiwete...
Wakuu,
Kuna jambo moja nimekumbuka na ningependa kuwashirikisha humu jamvini ili muone aina ya uongozi tulio nao hapa nchini. wakati fulani rais kikwete aliitisha mkutano wa wahariri na...
:angry: Leo Nimeanzia NEC: Election Results on a Geographic Map nikihitaji kujua idadi ya madiwani na kura walizopigiwa ili nije na majumuish tuyajadili hapa lakini.....
Nikakutana na:
Service...
na Irene Mark na Janet Josiah
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeipa serikali sharti la kufanya mazungumzo ya kumaliza utata uliotokana na kinachodaiwa kuwa...
Wana jf kuuliza si ujinga nipo mbali na tz na najua ktk hili jamvi naweza kupata habari za uhakika zenye uwazi
NAULIZA Dk. Hoseah bado yuko Takukuru? Na kama amekataa kuondoka yu wapi basi wa...
BAN KI MOON AMPONGEZA JK NA WATANZANIA WOTE KWA UCHAGUZI MKUU WA AMANI
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amemtumia salamu za pongezi Rais Jakaya Mrisho Kikwete na watanzania wote kwa kukamilisha...
MSIMAMO wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa kutoyatambua matokeo ya urais huku kikidai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, umemtikisa Rais Jakaya Kikwete na chama chake, kiasi cha...
Dr. Slaa bado wapiga kura wako tunataka kufahamu ulishindwa kwa kura ngapi au ulishinda kwa ngapi na uchakachuaji ulitokeaje????? nimechoka kuvumilia naomba Dr.Slaa jitokeze sema na wananchi. Hizo...
MSIMAMO wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa kutoyatambua matokeo ya urais huku kikidai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, umemtikisa Rais Jakaya Kikwete na chama chake, kiasi cha...
KWA KUWA watanzania wengi wanapata habari kwa kupitia redio, magazeti na TV ni vema kuwapatia zawadi hii (attachment) ili kuwafikishia watanzania wote hasa kupitia magazeti ya ndani na nje ya...
:target:Misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 (Toleo la 20 Juni 2005)
KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga...
Baada ya wabunge wa Chadema kususia hotuba ya JK, mheshimiwa wetu alikosa diplomasia rahisi ambayo ingewaweka CHADEMA mtegoni!! Ningekuwa mimi ndo JK siku hiyo ya tukio ningeongea kama ifuatavyo:-...
SIKU moja baada ya Chadema kusema ipo tayari kuketi meza moja na serikali, chama tawala au taasisi nyingine yoyote kwa ajili ya mazungumzo, katibu wa CCM, Yusuf Makamba amesema chama hicho hakina...
Muafaka wa CCM na CUF ni kwa nchi ya Zanzibar na si bara CUF Haikuwa na mgogoro na CCM bara msituchanganye na vyama venye mlengo wa uislam huku bara tazama kampeni zote za CUF bara ni sehemu zenye...
Na Maggid Mjengwa.
KUNA wakati, katika mwaka huu, vyombo vya habari vya dunia vilimwonyesha Rais Hamid Karzai wa Afghanstan akitoa machozi hadharani. Ni pale alipotamka kwa uchungu akielezea...
Felix msemakweli mbunge wa nccr amekiri kuwa nccr ikiacha kutii na kusimamia maslahi ya watanzania yuko tayari kukipiga chini na kujiunga na chama chochote cha upinzani hata chadema.
Source star...
Ndugu zangu wana JF,
Kasi ya kudai katiba mpya naona kama imepoa. Wananchi wengi mitaani wanaongelea habari ya katiba mpya lakini wanakosa uongozi wa kuwakusanya ili kuonyesha hisia zao. Jaji...
ndugu zangu wakati umefika watanzania tukaadamana kutaka tume huru ya uchanguzi iliyoundwa bila kushirikisha serkali iliyoko madarakani.tunahitaji mabadiriko ya katiba kuhusiana na mambo ya uchanguzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.