PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,207
- 8,690
Wadau napenda kuuliza kama kama ifuatavyo: Tumezowea kuwa na marais wanaume tangu uhuru, ambapo wake zao huitwa FIRST LADIES. Kwa mfano ikatokea 2015 akapatikana rais mwanamke, je mumewe ataitwaje ki-heshima?,
Na je kuna uwezekano akaanzisha taasisi ya maendeleo kwa wanaume kama ilivyo WAMA?
Na je kuna uwezekano akaanzisha taasisi ya maendeleo kwa wanaume kama ilivyo WAMA?