WanaJF naomba mwenye taarifa anisaidie hapa!!!!!!!!!! Comment zangu kwa barua hiyo ni hizi hapa!!!!!!!!!
MwanaJF M. M. Mwanakijiji naungana na Great Thinkers WanaJF kukupongeza kwa kuchukua...
Wapendwa Wakuu
Muundo wa uongozi Tanzania unaelekea kuibua maswali mengi. Pamoja na kuwa tumo ndani ya Muungano bado Watanzania Bara hawana nafasi ya Uongozi huko Zanzibar.
Juzi tumeshuhudia...
Kitendo cha watendaji wa serikali kuzuia wastaafu wa Afrika Mashariki kufanza maandamano yao kudai haki zao zilizokwamishwa na serikali kwa miaka zaidi ya 30, ni ishara gani? Ni woga au sababu za...
Makamanda na Wana JF;
Ule Waraka uliosomwa mbele ya vyombo vya habari uko Dodoma na THOBIAS MWESIGA RICHARD
aliyekuwa anadai anausoma KWA NIABA YA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MKOA WA DODOMA ni...
Maamuzi ya kidemokrasia hufanywa na watu.
Ilimshangaza kila mpenda haki pale Chadema waliposhindwa kuwapata wabunge wa viti maalum wanawake kwa njia ya kura na badala yake wakatoa tenda ya...
Wandugu,
Tangu jk aingie madarakani kumekuwa na kasi kwa kiwango cha kutilia shaka ya watoto na ndugu na jamaa wa vigogo kuingia kwenye siasa. Kimsingi, siyo vibaya watoto au ndugu wa kigogo...
Ulimwenguni sasa hivi nchi zinazofadhili mataifa ya ulimwengu wa tatu sehemu ya bajeti na misaada mbalimbali zinafanya hivyo kwa msharti ya nchi husika kuendesha siasa za vyama vingi. Hii ni kwa...
Katiba ya Muungano inaweka utaratibu wa vyeo vikuu vya Serikali ya Zanzibar na inaelezea juu ya vyeo vingine au taratibu nyingine kwa mujibu wa "katiba hii (ya MUungano) na Katiba ya Zanzibar"...
Kitendo cha wabunge wa CHADEMA kutoka bungeni jana kimetafsiriwa kama udhaifu mkubwa kwa raisi wetu JK na pia kinaonyesha kuwa wananchi na wabunge hawana imani na serikali ya huyo bwana.
Viongozi...
Tunaposema kiognozi mwadilifu na mchapakazi ni sifa mbili ambazo si rahisi sana kuzipata kwa mtu mmoja. Watu wengi waadilifu sio wachapakazi kwamaana ya kuwa na fikra endelevu (Innovative). Ukimpa...
Madagascans give huge backing to new constitution
(AFP) 5 hours ago
ANTANANARIVO Madagascans strongly approved a new constitution in a referendum held last week, with 74 percent of the...
Napenda kutoa changamoto kwa Chadema na wapenda mabadiliko halisi kwamba msifikiri kwa kupata wabunge 23 wa kuchaguliwa na 25 wa viti maalum ccm wamefurahi au wanaona ni sawa tu, yaani...
GAZETI LA NIPASHE JUMAPILI HII LIMEANDIKA HABARI ZA WABUNGE WA CHADEMA KUTOKA BUNGE LIKIEGEMEA KWENYE UPANDE MMOJA TU WENYE KUPINGA. HABARI HIZO NIMEZIWEKA HAPO CHINI. KUNA HABARI KUU TATU TOFAUTI...
Kikwete II can make or break Tanzania
By KARL LYIMO, Daily News, Dar es Salaam, Tanzania
Monday, November 22, 2010
THE general elections this year the Fourth Edition of Tanzanias Book...
jamani mimi nashangaa hawa watu wanaotaka mazungumzo
kama njia ya kudai katiba walikuwa wapi miaka yote 18. Mfumo
wa vyama vingi ulipoanza mwaka 1992 kitu cha kwanza wapinzani
kudai ilikuwa katiba...
Hawa TAHLISO wanaojiita umoja wa vyuo vikuu japo hawana msaada wowote kwa wanafunzi wa vyuo na wala hatupo nao, wameishia wapi? walikuwa wanajaribu angalau kujionesha kuwa ni wema wakati...
Leo wakati naisoma katiba katika ibara inayotoa muongozo wa Tume ya uchaguzi nilikutana na uozo wa karne. Pamoja ya kuwa karibu vipengele vyote vina shida kubwa tu, lakini hii hapa imevunja...
Nilikuwa nafuatilia mahojiano ta TBC ambapo Binti Shirima alikuwa anamhoji Mtoto wa Mkulima Pinda nikashangaa alipoanza kusema wapinzani ni watu wa kupinga tu kila kitu. Nikasema ama kweli naye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.