GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Kwa mujibu wa taratibu za uendeshaji wa nchi, Chama kilicho shinda na kuunda Serikali (yaani CCM )ndicho chama ambacho ilani yake inatatekelezwa kwa kipindi husika i.e 2010-2015. Kwa mantiki hiyo basi, yale yote yanayofanywa na vyama vingine huwa ni kutekeleza ilani ya chama tawala. Na hivyo basi , yale yote watakayo yafanya CDM itakuwa ni utekelezaji wa ilani ya CCM.