Hongera Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zomba, Nov 26, 2010.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Natoa pongezi na hongera zangu za dhati kabisa kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

  Toka wazo hadi udahili wa mwanzo mpaka leo tunashuhudia wahitimu wa mwanzo wa UDOM, yote haya katika kipindi kifupi. Hii ni rekodi ya Dunia.
  Hongera wahitimu, hongera Tanzania.
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Labda ni mimi ndiyo nachanganya mambo lakini UDOM haikuwa conceptualized na kujengwa wakati wa Mkapa kisha ika malizika kipindi cha JK na yeye kuki zindua mwaka 2007?

  Je hiyo rekodi ya dunia umeipimaje mkuu? I mean ume research ukaona ni rekodi ya dunia au ume fikiaje hiyo conclusion?

  Otherwise hongereni wahitimu wa UDOM.
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sikuelewi unachosifia.
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Udom haikuwa concept ya Mkapa, kwa matamshi yake Mwenyewe Kikwete katika uzinduzi hapo jana, ilikuwa ni "kiherehere" chake binafsi na ahadi binafsi aliyoitowa wakati wa kampeni za 2005, anasema, aliogopa hata CCM wasije wakamuuliza hii sera ya kujenga chuo kipya ilitoka wapi? Na Bajeti yake iko wapi.

  Kuhusu rekodi ya Dunia. Hilo ni wazo langu binafsi, kwani mpaka sasa sijasikia, wazo, ahadi, kujenga chuo kipya, mpaka kudahili within 2 years na kutowa wahitimu wa mwanzo within 5 years. Sijawahi kuona au kusikia zaidi ya UDOM. Jee wewe umewahi?
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  "Asiyejuwa maana haambiwi maana"
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Idea ya UDOM haijtokea kipindi cha Kikwete sijui hizo sifa za dhati unampatia Jk, Mkapa au serikali?. Hivi mbona watu mnajipendekeza sana kwa huy mkwere japo hana lolote
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Watu wengine bwana.

  Kwani kumpa hongera Kikwete na kwenyewe kunahitaji kukupotezea muda kuweka post JF?

  Si uende kwake Magogoni au utume maoni kwa Mhariri Uhuru?

  Au uandike ujumbe TBC1 kwenye Jambo Tanzania?

  Kikwete hapendwi.

  Kama unajipendekeza. Kivyako.
   
 8. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni wazo la Mkapa. Hivyo ndivyo nijuavyo tangu zamani. Lakini lazima kukubali pia kwamba kimejengwa pesa za Ayatollah wa Iran. Tusubiri kuona mkataba ulikuwa ni upi?
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Ayatollah wa Iran

  Watu huwa hawataki kukubali. Wanapindisha eti kilijengwa kwa pesa ya mifuko ya mashirika ya pensheni.

  Wadanganyika bwana.

  Au munadhani wanaosema UDOM ni chuo cha Waislamu ni mahayawani? Hawana hoja?
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ulizotowa wewe na ulisimamia wewe na mpaka sasa kinatowa wahitimu wa mwanzo kwa jitihada zako binafsi. Hongera zako.
   
 11. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Usihitimishe kwanza ngoja tuwapokee hao wahitimu kwenye ajiri na tupime uwezo wao kwa kuwalinganisha na wahitimu wa vyuo vingine kama Mzumbe, IFM, UDSM, MUCCOBs, nk
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Jee, kuna tatizo hapo? Almuradi, kiko na kinawasaidia wa Tanzania. Na pia Bill Gates ana kamchango kake kakubwa pale.
   
 13. Matonange

  Matonange Member

  #13
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chuo chenyewe ni chuo hicho!!!!! Hiyo ni sehemu ya watu kupotezea muda tu!!
   
 14. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Tusipoangali sasa tutaanza kusifia watu kwa mvua kunyesha sana, hali ya hewa kuwa nzuri na joto kupungua........... Hongereni viongozi wetu
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Aaaah, hayo utangoja wewe, mimi napongeza kwa dhati kabisa na namtakia kila kheri Kikwete, kwani bila elimu hatuna badiliko ya kweli na Kikwete anajitahidi katika kuwafunguwa macho wa Tanzania, kwa elimu na mengi mengine.
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wahenga walinena "Mnyonge mnyongeni, haki ya ke mpeni"
   
 17. Matonange

  Matonange Member

  #17
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  UDOM degree is just equivalent to a certificate of serious universities.
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0


  Wahenga walinena "Mnyonge mnyongeni, haki ya ke mpeni"​
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Does it matter?
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Aaaah, hayo utangoja wewe, mimi napongeza kwa dhati kabisa na namtakia kila kheri Kikwete, kwani bila elimu hatuna badiliko ya kweli na Kikwete anajitahidi katika kuwafunguwa macho wa Tanzania, kwa elimu na mengi mengine.
   
Loading...