Jamaani nchi yetu

kibenya

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
383
134
Eti 6 kapewa uwaziri wa eac ili adili na mambo ya nje zaidi akigusa tu ya ndani wamwambie shughulikia ya eac sasa kwa kuwaumbua hao awalipe wazee wastaafu wa eac tuone watamweka wapi udiwani au ukuu wa mkoa
 
Sidhani kama anao uwezo, wa kuwalipa wazee wa EAC kama sikosei hii ni kesi ya Wazee Vs Serikali pesa zao zilikuja zamani kabla ya vita vya Uganda wenzao wa Kenya na Uganda walipewa, wa hapa Tanzania hawakupewa
 
Back
Top Bottom