Twahitaji strategy

furahi

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
945
189
Hao UDOM ni warugaruga 2, washamba wa vijijini hata vyoo vya kuflash hawajui kutumia. Mdogo wangu kaenda kuanza chuo juzi anasema huko watu wanabonga kigogo, kinyaturu, kinyakyusa yani kama kijijini. Hata hostel nzuri na vyoo walivyojengewa hawawezi kutumia, wanajisaidia hovyo, ukichangia na hali ya maji mkoa ule ni tabu tupu! Yani ni washamba ni waoga wa serikali, hawaelewi somo kwa CCM. Nina wasiwasi kama elimu itawakomboa!
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,167

well said.

udsm inachukiwa kwa sababu imezalisha vichwa: Mbowe, Zitto, Mwakyembe, Pombe.

mwanangu hawezi kusoma udom. piga uwa. labda walipue udsm. bora siende shule kabisa.
 
chigwiye

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
352
59
Hapana wanaJF,tutafute strategy kama heading inavyosema,haisaidii kuanza kuwadharirisha UDOM coz wao kama watz wengine wanachukua maamuzi kutokana na jinsi chama husika kimejifunua kwao.Pengine ni kosa letu CDM kutopenyeza sumu yetu pale,ccm wametumia nguvu nyingi kujipenyeza UDOM wakijua DOM ni makao makuu ya chama chao.Wanachuo wanachoona pale kila kukicha ni ccm visitors wakienda kuongea nao haya na yale,unategemea nini sasa? Tupange mkakati wa kujipenyeza udom kwa kutumia forums mbalimbali za ki-akademiki,maendeleo na hapo ndipo wataanza kututambua.CDM ilifanya forums nyingi SAUT Mwanza,alikuja zitto,mbowe na wengine,tazama tulivyofanikiwa,ccm haipo kabisa SAUT. Kwa hiyo jambo hili liko ndani ya uwezo wetu wana CDM,tuweku nia ya kilikomboa jimbo la udom,uwezo tunao.Sio mambo ya ooooh udom hawajui kutawaza,kuflash nk,hayatusaidii.pengine wao ndio wanastahili kutulaumu kwa uzubaifu wetu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom