Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,619
- 4,298
Nimemfuatilia kwa kipindi cha miaka mitano muheshimiwa Raisi Kikwete kwenye kila kwenye hotuba zake Luningani sintaacha kulipenda lile TABASAMU lake ambalo haliishi kila anapoongea na wananchi wake awe amefurahi! awe amekasirika!TABASAMU liko palepale. Lakini chakushangaza tokea alipotangazwa kapata ridhaa ya Uraisi kwa kipindi chake cha lala salama kuanzia hapo jamaa sasa naona kama anaweka mpaka NDITA usoni! Tabasamu silioni tena ukiliona TABASAMU NA KICHEKO ni kwa mbaaali halafu na sauti ya msisitizo KULIKONI???:bored: