Makatibu Wakuu Zanzibar


Halisi

Halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2007
Messages
2,812
Likes
98
Points
145
Halisi

Halisi

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2007
2,812 98 145
Makatibu Wakuu Zanzibar

1. BARAZA LA MAPINDUZI
1. KATIBU WA BARAZA LA MAPINDUZI NA KATIBU MKUU KIONGOZI
DKT. ABDULHAMID YAHYA MZEE
2. NAIBU KATIBU WA BARAZA LA MAPINDUZI
ND. SALMIN AMOUR ABDULLA

2. OFISI YA RAIS NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, IKULU
1. KATIBU MKUU
ND. SALUM MAULID SALUM
2. NAIBU KATIBU MKUU (IDARA MAALUM ZA SMZ)
ND. ABDULLA JUMA ABDULLA

3. NAIBU KATIBU MKUU (USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NA URATIBU WA SHUGHULI ZA WAZANZIBARI WALIOPO NCHI ZA NJE)
ND. SAID ABDULLA NATEPE

4. NAIBU KATIBU MKUU (TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA)
ND. MWINYIUSSI ABDULLA HASSAN

3. OFISI YA RAIS (FEDHA, UCHUMI NAMIPANGO YA MAENDELEO)
1. KATIBU MKUU
ND. KHAMIS MUSSA OMAR
2. NAIBU KATIBU MKUU (FEDHA)
ND. ABDI KHAMIS FAKI

3. KATIBU MTENDAJI WA TUME YA MIPANGO
ND. AMINA KHAMIS SHAABAN

4. OFISI YA RAIS, UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA
1. KATIBU MKUU
ND. JOSEPH ABDULLA MEZA
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. YAKOUT H. YAKOUT

5. OFISI YA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS
1. KATIBU MKUU
DR. OMAR D. SHAJAK
2. NAIBU KATIBU MKUU
DKT. ISLAM SEIF SALUM

6. OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS
1. KATIBU MKUU
DR. KHALID SAID MOHAMED
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. SAID SHAABAN SAID

7. WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
1. KATIBU MKUU
ND. ASAA AHMADA RASHID
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. ABDULGHANI MSOMA

8. WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
1. KATIBU MKUU
ND. MWANAID SALEH ABDULLA
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. ABDULLA MZEE ABDULLA

9. WIZARA YA AFYA 1. KATIBU MKUU
DR. MOHAMMED SALEH JIDAWI
2. MKURUGENZI MKUU
DR. MALICK ABDULLA JUMA

10. WIZARA YA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO
1. KATIBU MKUU
DR. VUAI IDDI LILA
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. MSANIF HAJI MUSSA

11. WIZARA YA USTAWI WA JAMII, NA MAENDELEO YA VIJANA, WANAWAKE NA WATOTO
1. KATIBU MKUU
ND. RAHMA MOHAMMED MSHANGAMA
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. MSHAM ABDULLA KHAMIS

12. WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, UTALII NA MICHEZO
1. KATIBU MKUU
ND. ALI SALEH MWINYIKAI
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. ISSA MLINGOTI ALLY

13. WIZARA YA ARDHI, MAKAAZI, MAJI NA NISHATI
1. KATIBU MKUU
ND.MWALIM A. MWALIM
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. TAHIR M. K. ABDULLA

14. WIZARA YA BIASHARA, VIWANDA NA MASOKO
1. KATIBU MKUU
ND. JULIAN RAPHAEL
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. RASHID ALI SALIM

15. WIZARA YA KAZI, UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI NA USHIRIKA
1. KATIBU MKUU
ND. ASHA ALI ABDULLA
2. NAIBU KATIBU MKUU
ND. ALI KHAMIS JUMA

16. WIZARA YA KILIMO NA MALIASILI 1. KATIBU MKUU
ND. AFFAN OTHMAN MAALIM
2. NAIBU KATIBU MKUU (KILIMO)
ND. JUMA ALI JUMA
3. NAIBU KATIBU MKUU (MALIASILI)
DR. BAKARI S. ASSEID

17. WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
1. KATIBU MKUU
DR. KASSIM GHARIB JUMA
2. NAIBU KATIBU MKUU
DR. OMAR ALI AMIR

Kwa mujibu wa Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi, Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, wotee hao walioteuliwa walitarajiwa kuapishwaleo Ijumaa tarehe 26 Novemba 2010 saa 8.00 za mchana, katika viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar.
 
S

smartgirly

Member
Joined
Nov 24, 2010
Messages
11
Likes
0
Points
0
S

smartgirly

Member
Joined Nov 24, 2010
11 0 0
Zanzibar Yateuwa Makatibu Wakuu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Watendaji Wakuu katika Ofisi na Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi, Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, Dk Shein amefanya uteuzi huo kutokana na madaraka aliyopewa chini ya Vifungu 49 (1), 50 (2) na 50 (4) vya Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984. Uteuzi huo umeanza leo tarehe 25 Novemba 2010.
 
Mwanamayu

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Messages
8,385
Likes
2,448
Points
280
Mwanamayu

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined May 7, 2010
8,385 2,448 280
Kwenye mabano ungetuwekea CCM ama CUF.
 
Jackbauer

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
5,920
Likes
96
Points
145
Jackbauer

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
5,920 96 145
Tanzania bara itakuaje?
 
N

Newvision

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
448
Likes
1
Points
0
N

Newvision

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2010
448 1 0
Inashangaza hii ni kupeana vyeo kwa namana hii ni ajabu! hivi kuna huko Visiwani kuna kazi gani mpaka wawepo makatibu wakuu wengi kiasi hicho labda kwa kuwa mishahara yao ni kiduchu
 
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Messages
20,562
Likes
1,585
Points
280
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2007
20,562 1,585 280
mwee wnaapishwa baada ya swala ya Ijumaaa eeeh...hahaaa
 
jyfranca

jyfranca

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2010
Messages
299
Likes
2
Points
0
jyfranca

jyfranca

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2010
299 2 0
Isije ikawa Zanzibar, ukijumuisha viongozi wote wakiwemo madiwani, mameya, mawaziri, manaibu wao, makatibu, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, makatibu kata na wengine,nusu ya wananchi ni viongozi wa serikali.
 
jyfranca

jyfranca

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2010
Messages
299
Likes
2
Points
0
jyfranca

jyfranca

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2010
299 2 0
Zanzibar kila watu watatu, mmoja ni kiongozi wa serikali
 
BABA JUNJO

BABA JUNJO

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
241
Likes
0
Points
0
BABA JUNJO

BABA JUNJO

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2010
241 0 0
Bado wakurugenzi, wakuu wa mikoa na wilaya si wote watakuwa viongozi. Kwahiyo kwao ile issue ya ajira sasa sio tatizo nadhani wamesha anikiwa kupnguza.
 

Forum statistics

Threads 1,237,931
Members 475,774
Posts 29,306,993