Kikwete na Serikali yake wawaambie Watanzania kwanza "Mmiliki wa Dowans ni nani"?

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
444
195
Safari hii jasho litawatoka mawaziri na spika wa sisiemu mjengoni!!!!!!! Kabla hata miswada ya Tume Huru ya Kuchunguza matokeo ya Uchaguzi, Kuandika Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi (Kuwafukuza kama mbwa akina kiravu na makame wakafilie mbali!!!!!), na kutakiwa taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya bunge la 9 kuhusu EPA na Richmond,hazijawasilishwa bungeni, tayari serikali ya Kikwete imepatwa na skandal nyingine ya Tanesco kutakiwa kuilipa Dowans Tshs bilioni184 au 5??,wakati si Richmond wala Dowans wamiliki wake hawajajulikana!!!!!! Kweli hili ni shamba la bibi-linatafunwa na wenye meno!!!!!!!
Safari hii mjengoni kutawaka moto!!!!!!!!-Tundu Lissu, Freeman, na lile jopo la vijana wa CDM mna haki ya kikatiba kuzuia upuuzi huu kupita bungeni!!!!!!!!!!Sijui kama yale magari ya maji ya kuwasha yataingia ndani ya mjengo kuzima moto wa nguvu za hoja zitakazowaacha spika Anna na naibu wake ndugai hoi na taabani!!!!!!
Tundu Lissu watanzania wanataka tuambiwe mmiliki wa Dowans, vinginevyo hizo hela hazitalipika!!!!!!!!!!!Vinginevyo tutaingia mitaani na kujipaka oil chafu kukabiliana vilivyo na magari ya maji makali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Tutawambia wenye kufadhili mabakuli ya JK kwamba hizi ni hela za walipa kodi wao zinazokwenda kutafunwa na mafisadi hewa!!!!!!, halafu waone moto ukilipuka kwenye mitaa ya London, New York , Oslo, Paris,Tokyo, Stolkholm nk!!! Hili jukumu tunamwachia Dr PhD akamilishe!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hassan J. Mosoka

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
681
500
Hapo ndipo mimi nawaona waTZ hatuko serious na kodi zetu, ngoja majambazi wazigawane, Hivi kwa nini watanzania tusihoji wazi viongozi wa nchi watueleze Majina ya wamiliki wa hizo kampuni ikiwemo Meremeta iliyoacha Mashimo na Milima hapa kwetu Buhemba!! TAnzania itakombolewa na wa TZ kwa pamoja na sio kila kitu kuwaachia wabunge, watabeba mangapi???
 
Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
2,858
2,000
Hivi atuna uwezo kama Raia ambao ni kodi zetu ndo zitarumika kulipa awa manyangau,tukafungua kesi ya kikatiba kudai kwanza kujua owners wake na kupinga malipo haya?au kuandaa maandamano nchi nzima kulaani ufisadi huu?
 
Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,445
0
Safari hii jasho litawatoka mawaziri na spika wa sisiemu mjengoni!!!!!!! Kabla hata miswada ya Tume Huru ya Kuchunguza matokeo ya Uchaguzi, Kuandika Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi (Kuwafukuza kama mbwa akina kiravu na makame wakafilie mbali!!!!!), na kutakiwa taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya bunge la 9 kuhusu EPA na Richmond,hazijawasilishwa bungeni, tayari serikali ya Kikwete imepatwa na skandal nyingine ya Tanesco kutakiwa kuilipa Dowans Tshs bilioni184 au 5??,wakati si Richmond wala Dowans wamiliki wake hawajajulikana!!!!!! Kweli hili ni shamba la bibi-linatafunwa na wenye meno!!!!!!!
Safari hii mjengoni kutawaka moto!!!!!!!!-Tundu Lissu, Freeman, na lile jopo la vijana wa CDM mna haki ya kikatiba kuzuia upuuzi huu kupita bungeni!!!!!!!!!!Sijui kama yale magari ya maji ya kuwasha yataingia ndani ya mjengo kuzima moto wa nguvu za hoja zitakazowaacha spika Anna na naibu wake ndugai hoi na taabani!!!!!!
Tundu Lissu watanzania wanataka tuambiwe mmiliki wa Dowans, vinginevyo hizo hela hazitalipika!!!!!!!!!!!Vinginevyo tutaingia mitaani na kujipaka oil chafu kukabiliana vilivyo na magari ya maji makali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Tutawambia wenye kufadhili mabakuli ya JK kwamba hizi ni hela za walipa kodi wao zinazokwenda kutafunwa na mafisadi hewa!!!!!!, halafu waone moto ukilipuka kwenye mitaa ya London, New York , Oslo, Paris,Tokyo, Stolkholm nk!!! Hili jukumu tunamwachia Dr PhD akamilishe!!!!!!!!!!!!!!!

mimiliki wa DOWANS HUYU Hapa http://mafisaditanzania.blogspot.com/
 
zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,070
0
Why Kikwete? Nenda BRELA utajuwa kila kampuni iliyosajiliwa Tanzania ni ya nani, kama hupajui BRELA au upo mbali na Tanzania, link yao hii hapa: BRELA-Home

Usituletee upupu hapa hapa usiokuwa na maana.
 
zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,070
0
Why Kikwete? Nenda BRELA utajuwa kila kampuni iliyosajiliwa Tanzania ni ya nani, kama hupajui BRELA au upo mbali na Tanzania, link yao hii hapa: BRELA-Home

Usituletee upupu hapa usiokuwa na maana.
 
Wameiba Kura

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
390

ww human animal, ukikutana na mm, kimbia kama mwizi, i beg u, na usigeuke nyuma, one hand is stronger enough than whole ur body, au kitaka kusimama kafanye gym 360 days, then wait me, aaargggggghhh, huwa napigaga tu, ww mtu wa taarabu wa Dar, kimbia ukimwona mwiraq muscular, Mrefuuuuu, mtu wa Arusha mbele yako, run away in english, plse
 
Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
444
195
Mwana JF Dar Es Salaam, kwani ukituambia jina la mmiliki wa Dowans kuna tatizo gania?????, mbona ni kwa faida ya wana JF?????!!!!!!!!!!! Watanzania wanaouliza swali hila nina hakika wanajua habari yote ya BRELA!!!!!!; vinginevyo swali hili moja lisingekosa jibu kwa miaka yote hii!!!!!!!!!!!!! Kama fedha hizi Tshs bilioni 184 za walipa kodi zingeelekezwa kwenye mfuko wa maendeleo sijui shule ngapi na zahanati ngapi zingejengwa!!!!!!!!!!
Kama mmiliki wa Dowans hajulikani na fedha hizi hazitoki !!!!!!-siamini kama bodi ya tanesco itaidhinisha malipo haya kirahisi kama wadai-hewa wanavyodhani!!!!!!!!!!
 
mams

JF-Expert Member
Jul 19, 2009
615

Hii ni dunia nyingine, anonymous ameshinda kesi na analipwa fidia nono!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom