Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,091
Kutokana na hali ya mgao wa ememe inayorindima Tanzania, kumekua na mfumuko wa bei za bidhaa na huduma mbalimbali za kijamii pasipo kujua hatma yake.mimi kama Mtanzania mwenye kipato cha chini kisichoendana na mfumuko huu wa bei unaotokana na mgao wa umeme, ningependa kumshauri Rais Jakaya Mrisho Kikwete atangaze kuwa, UMEME NI JANGA LA KITAIFA.:angry: