Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nigeria yamshitaki Dick Cheney Idara ya kupambana na rushwa nchini Nigeria imefungua mashtaka dhidi ya makamu wa zamani wa rais wa Marekani Dick Cheney, kuhusiana na kadhia za hongo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wahisani wanaochangia bajeti kuu ya Tanzania (GBS) wameikataa bajeti waliyopelekewa na serikali ya Tanzania kuwa ni tofauti na iliyopitishwa na bunge Julai mwaka huu. Jamani hii si aibu na...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Ndugu zangu, tayari Serikali mpya ya CCM imeanza kutekeleza mikakati ya maisha bora kwa kila mtanzania. Leo katika taarifa ya habari saa 2 usiku kupitia ITV, imeripotiwa kuwa Hospitali ya mkoa wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425 PRESIDENT’S...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
SERIKALI imesema iko tayari kukaa meza moja na chama cha upinzani cha Chadema au taasisi nyingine yoyote itakayotaka kujadiliana kuhusu mustakabali wa taifa. Waziri wa Nchi Ofisi ya...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
GreaTthinkErs Kwa jinsi suala hili la umeme linavyonikera licha ya kuwa na maporomoko mengi ya maji. Kwa jinsi mafisadi wanavyowabembeleza na kufunga vibaka kwa wanavyopeana vyeo utadhani nchi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
"ka nzi" kanakozunguka kwenye ofisi mbalimbali za serikali kamerudi na uchafu mwingine. Uchafu huu unadaiwa kuwa uko kwenye Tume ya Maadili ya Viongozi ambayo ndiyo chombo ambacho Watanzania...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
kuna wadau wameanza kampeni "PETITION" ya kuzitaka nchi wafadhili kukata misaada kwa Tanzania kwa sabau za kifisadi za serikali ya kikwete. Mnaomba kusaini hiyo petition ili hawa mafisadi washike...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ufisadi Ardhi wamtisha Waziri Anna Tibaijuka • RIDHIWAN, SOFIA, MWANRI, DK. KIMEI WAFIKISHWA TAKUKURU na Ratifa Baranyikwa WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ikiwa hali ndizo hizi,chaguzi za nini?. Hivi tunavyoandika chaguzi zenye mizozo ziko Haiti,Misri na Ivory Coast. Unajua haya mambo ya uchaguzi yana gharama mno,kuanzia mali mpaka muda na afya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hakuna asiyejua mtu aliyetuingiza kwenye mkenge wa ajabu wa jitu linaloitwa Richmond ambalo sasa linazaa jitu kubwa zaidi linanyonya damu yetu linaloitwa Dowans. Hapo zamani tuliambiwa na PCCB...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Imekuwa ni kawaida ya marais kusamehe wafungwa wa makosa mbalimbali hasa ya kifungo kidogo na makosa ambayo wafungwa wametumikia kwa muda furani. Ndg liyumba anasiku magereza na je wanajamii...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu Watanzania ambao tunaoshi maeneo ya Washington DC, tunawatangazia wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu, 2010 na namna shughuli ya kuhesabu kura za uchaguzi...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
BBC Kiswahili walitangaza leo jioni kwamba inaonekana marais wa Afrika wamebuni mfumo mpya wa demokrasia. kwamba waliopo madarakani wakishindwa kwenye uchaguzi hukataa matokeo. Lengo ni...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Jumapili ya tarehe 5 dec 2010 ilikuwa ni siku ya furaha kwa wana wa moshi baada ya mh mbuge wa moshi mjini na madiwani wake kuandaa party ya shukrani kwa kila kata.ilikuwa imetulia sana.source me...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kiwewe baada ya kusikia Slaa(PhD) atapeperusha bendera ya Chadema kutumia vyombo vya ulinzi (unakumbuka hadithi ya shimbo?) kuchimbia mkwara wananchi kugomea kufanya mdahalo wa moja kwa moja kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna watu wana ham kweli ya kuona Chadema kinapotea katika medani ya siasa. Ninawasikitikia kwa sababu wamechelewa. Chadema kimeteka akili za Watanzania waliokwenda shule kama CCM kilivyoteka...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Obama amemwambia rais Bagbo kwamba akubali alishindwa kwa mpinzan wake na aachie madaraka. Kwanin Obama hakumwambie JK kwamba ameshindwa na amuachie Slaa nchi? Kama mnakumbuka mmoja wapo wa...
0 Reactions
65 Replies
6K Views
Jana nimensikia mh Nahodha, waziri wa mambo ya ndani akiongea na waandishi wa habari akiwa pamoja na vyombo vyake vya usalama. Alikuwa akizungumza kupitia kipindi kilichorekodiwa cha Polisi na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
CUF tangu kuanzishwa kwake imekuwa na nguvu sana Pemba, na idadi ya wabunge wake wakati wote imebakia ile ile kukiwa na mabadiliko kidogo sana. Licha ya kwamba chama hiki kilianzishwa Tanzania...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom