Uchakachauaji wa Bajeti iliyowasilishwa bungeni na ile iliyopelekwa kwa wahisani, nani awajibishwe? Na kifanykike nini serikali iwache kuchakachua?:angry:
Wahisani wasitoe pesa ili liwe fundisho kwa serikali.Hii inaweza kuwa sababu mojawapo ya kuchochea mabadiliko ya kuandikwa kwa katiba mpya kwani kuwepo kwa katiba inayoeleweka itaweza ku-promote Good Gorvenance Tanzania
Hawa donors kuna vitu wanavuna Tz bse kwa issue kama iyo unacancell ata iyo donor support.
Kwa kuwa wanajua wanavuna kimtindo usishangae wakatoa onyo na kutupa ela.
Ni kheri wakaacha kutusupport ili tuje kuuza izo V8
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.