Marekani kuwa shughulikia viongozi wachafu wa africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marekani kuwa shughulikia viongozi wachafu wa africa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RUSHWA, Dec 7, 2010.

 1. R

  RUSHWA New Member

  #1
  Dec 7, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Asante kwa link yako nafikiri viongozi wetu sasa watakuwa wanafikiria mara mbilimbili kabla ya kwenda kuficha hela nje, very interesting part ni hii...inasikitisha

   
 3. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mpaka watelekeza. Ahadi kibao nao. Bla bla bla. Rejea ahadi ya Obama wakati wa uchaguzi kuhusu wanaoiba kura na kung'ang'ania madaraka
   
 4. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2010
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hii itakuwa na sawa na kesi ya nyani kumpelekea ngedere.Ninafahamu vizuri mfumo wa dunia unavyofanya kazi.Unajua kwa wale wanaomjua panya,hua akiuma anapulizia,this is what Amerika is doing,hiyo ni danganya toto,there is nothing out of it.Mobutu mbona hawakumshughulia?Tena alikuwa rafiki yao mkubwa,tena kwa muda mrefu tu.Wanafiki tu hao!
   
 5. s

  seniorita JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Waamerika wanauma na kupuliza, sio wa kuwaamini hao, hawana lolote bali kulinda maslahi yao, na watafanya hivyo at all costs....mimi siwaamini kabisa maana kwa bahati nawafahamu kiasi...hawana hata huruma na sisi tusidanganyike wanaangalia tu maslahi yao
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Wamshughulikie george bush kwanza!wanafiki wakubwa hao
   
Loading...