Mwakyembe na Sita Mpo wapi Mtusaidie Suala la Dowans?

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
0
Katika gazeti la Mwananchi, December 2, 2010; imeandikwa:
SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limeamriwa kulipa fidia ya Sh106 bilioni kwa kampuni ya ufuaji umeme ya Dowans Tanzania Limited baada ya kuvunja mkataba.Uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro ya Biashara (ICC Court), Novemba 15, mwaka huu chini ya Mwenyekiti Gerald Aksen na wasuluhihi Swithin Munyantwali, Jonathan Parker uliamuru Tanesco iilipe Dowans kiasi hicho cha fidia...

Sasa ndugu zetu Mwakyembe ambaye ulikuwa mwenyekiti kwenye kamati iliyowasilisha taarifa bungeni na hatimae kumg'oa Lowasa. Mliongea sana kuhusu hili na nina washukuru sana.

Huu ni wakati mwafaka zaidi kwenu kujitokeza na kuliongelea zaidi na kushauri nini kifanyike kwa maslahi ya wananchi.

Msikumbatie serikali bali wananchi waliowapa nafasi hiyo. Nawasilisha
 
Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,149
2,000
You will never hear them now!!

They paved a way for 185bn!!! and now they are ministers what else do you need??

we have to differentiate politics, laws and technical matters. It is not secret that those mentioned guys they did everything they could to please public that alone is a clear sign of bad leaders.
 
minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
1,225
...Msikumbatie serikali bali wananchi waliowapa nafasi hiyo...jamaa wako kwenye nafasi za utii na usiri wa baraza la mawaziri kwa hiyo mwajiri wao sasa ni serikali sio wananchi tena kwa mujibu wa sheria za nchi hii.
 
Mabel

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
1,219
2,000
You will never hear them now!!

They paved a way for 185bn!!! and now they are ministers what else do you need??

we have to differentiate politics, laws and technical matters. It is not secret that those mentioned guys they did everything they could to please public that alone is a clear sign of bad leaders.
Kaka mie naona kama mgao wa umeme unaoingia madarakani kwa kasi kubwa sasa una undungu na hizo 185b?
 
Bongolander

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
5,068
2,000
jamaa wako kwenye nafasi za utii na usiri wa baraza la mawaziri kwa hiyo mwajiri wao sasa ni serikali sio wananchi tena kwa mujibu wa sheria za nchi hii.

That was a very good trick to silence them on Richmond, Dowans etc and shut them up if any new deal comes in few years to come. This is Tanzania.
 
nooresh

Member
Mar 28, 2009
20
20
You will never hear them now!!

They paved a way for 185bn!!! and now they are ministers what else do you need??

we have to differentiate politics, laws and technical matters. It is not secret that those mentioned guys they did everything they could to please public that alone is a clear sign of bad leaders.

Waberoya hivi huangalii ni viongozi wengi sasa hivi wanaosema vitu kufurahisha jamii lakini ndio hao hao wanaokula sahani moja na vigogo katika kugawana keki ya utajiri wa nchi hii.......Mimi i even wonder media propaganda ya kumfanya Sitta aonekane is like a hero wa kupinga ufisadi......well is he not the same guy who was living in 8,000 USD kwa mwezi kodi ya nyumba in Oesterbay na ni yule yule Kiongozi aliyetengenza ofisi yenye thamani kubwa pale Urambo.....
 
August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
7,397
2,000
ndio hivyo wamechukuliwa msukule wakija kurudishwa hata akili hawana, hawajui walikuwa wapi, na wanako kwenda pia hawatojua. watakwambia tu, tulikuwa tunalishwa mayai ya kukaanga na kushushia na whisky/mvinyo/soda/bia nk (kulingana na tabia zao za ulevi) mpaka pale PM alipo waokota mahali, wakiwa hawajui hata wana fanya nini, ndio watu kujazana pale na waandishi wa habari, na Hosea, na Mwema, na Otham, Aziz, Na Edward na wananchi wengine wote wakishanga hawa ndugu zetu walikuwa wapi ? siku zote.
 
Ustaadh

JF-Expert Member
Oct 25, 2009
413
0
“Tunachanganya, tunapofikiri kuwa kila aliye na madaraka ni kiongozi, hii si sahihi, uongozi unakuja na utu, utaifa na kujali maslahi ya unaowaongoza,” - Graca Machel
 
Buyengwa

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,079
2,000
They are all cowards and hypocrites! BTW that's how most Tanzanians are. Kama wangekua wapambanaji wa kweli katika kutetea maslahi ya wananchi wengi,izo nafasi za uwaziri wangezikataa. Ila kwa vile waTZ wengi ndo walivyo,wamezikubali ili wafaidi mafao ya uwaziri na madaraka. Hivyo tusitarajie lolote toka kwao. The whole government system under CCM is so stinky,it needs a special deodorant.
 
Nawashukuru kwa michango mingi kuhusu hii mada. Kwanza mada yenyewe imekaa kiuchokozi. Lakini tujue pia kuwa wao wenyewe au walioko karibu nao wanapitia hapa jamvini. so watasoma au watapata taarifa hii na kuifanyia kazi.

Ni kweli wameapa kutunza siri kubwa za serikali na hilo limewaghalimu wengi wa waliokuwa mawaziri wa Kikwete na hivyo wakaanguka katika uchaguzi uliopita. kama hawaamini, wawaache wananchi, wakumbatie serikali tutakutana nao mwaka 2015 majimboni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom