Wizara ya ujenzi itakuwa bora kuliko zote

Mtama

Member
Nov 8, 2010
64
0
Kutokana na wizara hiyo kupewa askari wa ukweli inasemekana ndo itakuwa wizara bora kutokaxa na kombinesheni ya dokta Pombe na dokta Mwakyembe,ama kweli wizara ya ukweli hii
 

SUNGUSIA

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
232
195
So far wameanza vizuri tungoje tuone zaidi MREMA MREMA MREMA TANROADS ndio ilikuwa furaha yangu kwa mwanzo wao.
 

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
7,624
2,000
Wizara au Idara haitegemei ubora wa wakuu wake. Inawezekana wakachagiza ndipo mambo yakaenda sawa. lakini pia waweza kupata kinyume cha matokeo kwa sababu NI RAHISI KUMPELEKA PUNDA MTONI, LAKINI SI RAHISI KUMLAZIMISHA KUNYWA MAJI!. Kama uoza uko kwa watendaji chini, ni kazi sana kwa aliye juu kujua walioko chini wameoza kiasi gani inachukua muda kugundua hilo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom