Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

I had the misfortune of reading an article on the English section of ippmedia.com today. It badly hurt my feelings. To let you know what I mean, I will paste it below, with my comments liberally...
0 Reactions
325 Replies
33K Views
Kwa speed hi ya JK kupewa degree za heshima nafikiri very soon atampita marehemu Tumtemeke Sanga aliyekuwa na degree saba. JK: BA UDSM...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba kumekuwa na kelele nyingi kidogo za kutaka tuandike katiba mpya. Kelele hizo zinatoka pande mbalimbali ikiwemo baadhi ya wanachama wa chama tawala. Tumeanza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia mijadala hapa JF inachokihusu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), lakini mijadala hii mara nyingi imekuwa ikiishia kwenye Malumbano, watu kuitana Majina ya Ajabu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ikiwa leo jaji ocampo kataja majina sita ya watuhumiwa wa uvunjaji wa amani Kenya, ni wazi kukosekana kwa Uhuru Kenyata na Ruto katika kinyang'anyiro hicho kunatoa mwanga kuwa safari ya Raila...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu heshma zenu, mimi jamni nasapot kwa nguvu zangu zote CHADEMA na Dr Slaa, lakini swali langu ni kua hivi kama dactari kishinda, si atakua na wakati mgumu katika kuunda baraza la mawaziri? hii...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Taarifa zilizonifikia ni kwamba Mr Anatory Amani ndiye kachaguliwa kugombea umeya wa mji wa manispaa ya Bukoba kupitia lichama lile!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CHADEMA Bara, CUF Zanzibar, kipi kitatufaa? WATANZANIA wenzangu, nianze kwa kuhitimisha tathmini yangu juu ya CUF, nikizingatia kigezo cha nne, cha utafutaji/utumiaji wa rasilimali kwa ajili ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Aliyekuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kulia, sasa ni Mayor) akikabidhiwa fomu ya kuwania umeya wa maispaa hiyo na Katibu wa CCM wa Wilaya ya Ilala Ernest Charle katika Ofisi za...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hivi karibuni waziri mmoja mwanasiasa alikataa kwamba matumizi ya internet Tanzania hayapo chini sana. Alidai ilibidi ripoti (sikumbuki jina la waziri na kampuni iliyofanya utafiti) ilingane na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kamati Kuu ya chadema imemtambua JK kama Rais halali na kuagiza wabunge kushiriki shughuli zote za kitaifa. Kamati Kuu imekataa kura ya kutokuwa na imani na Zitto mpaka asikilizwe kwanza kwa...
0 Reactions
209 Replies
20K Views
Habarini Wandugu, Kwanza kabisa nichukue fursa hii kuwapongezeni wale wote wenye michango yenye tija kwa taifa letu. Niendelee na mada kwa kusema ya Kwamba Sisi Kama jamii yenye kuelewa nini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
• CHADEMA yaandaa mkakati mzito kudai Katiba mpya na Mwandishi wetu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kitawasha moto wa madai ya kutaka Katiba mpya itakayokidhi...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Mwelekeo wa topic za siasa humu JF ni katika upeku peku, upashkuna, uongo, unafiki, wivu, kejeli, na mipasho, nad mwelekeo huu unaboa (unaniboa). Nothing great in the posts that are currently...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hatimaye manispaa ya ilala imepata meya mpya ambaye ni ndugu Jerry Silaa, amewashinda Abuu Juma, aliyekuwa meya na Bisalala Salum, taarifa zaidi baadae
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wana JF, meskia tetsi kwamba Badra Masoud, yule dada madoido wa lile shirika la Umama Tanesco ametimuliwa katika ile post aliyokuwa akishikilia ya Public Relation Officer, plz mwenye data za...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
nependa kujua utaratibu wa nchi yetu amabayo tangu uhuru imeshindwa kutatua nguzo muhimu ya chanzo cha uchumi wa nchi yetu, Sisi wajasilimia mali Umeme ndicho chanzo muhimu cha kuendesha maisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM Morogoro yachafua hewa na Mwandishi wetu, Morogoro CHAMA cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Morogoro mjini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kitawasha moto wa madai ya kutaka Katiba mpya itakayokidhi matakwa ya wote. Akizungumza na Tanzania Daima Jumatano katika mahojiano...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Hivi sasa ni heri kuishi bila kuwa na vyombo vya usafiri kama vile magari n.k,hapo mwanzo walikuwa wakilipia parking kwa siku na kiwango kikitegemea aina ya gari.Lakini sasa imetangazwa kwamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom