Ya Mgeleja, Tanesco Juu ya Giza TRA hapo Mpo?

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,716
2,000
nependa kujua utaratibu wa nchi yetu amabayo tangu uhuru imeshindwa kutatua nguzo muhimu ya chanzo cha uchumi wa nchi yetu, Sisi wajasilimia mali Umeme ndicho chanzo muhimu cha kuendesha maisha yetu ya kila leo ya kuangaika, kumetokea taribani wiki tatu tuko kwenye tatizo kubwa la katizo la umeme , kutufanya sis wafanyabiashara ndogo ndogo ambo serikali ilitutia mfukoni na kutusahau kabisa tunaumia na giza tororo , sio giza tu, hapa dar watu wengi wanaishi kwa Ice Cream, Barafu, kuoka mikate, kunyoa nywele , kusuka nywele Ufundi uhunzi na Nk, tumejaribu kukopa benki mbali mbali kama Benki mkobozi ACB ambayo ndio kimbilio la vijana (Kama uamini nenda kawaulize kwa siku wanaandikisha vijana wangapi na mikopo inayotoka mingapi) sasa wakti huu wa katizo la umeme tunatakiwa kurejesha mikopo yetu kwa mujibu wa utaratibu wanaouweka, kwa katizo hili la umeme tutarudisha nini au tujiandikishe serikali itulipie usumbufu iliotupa, sasa kuna swala la TRA hawa hawajui matatizo ya watu wake hata nchi yetu inaendaje, wakiwa kwenye mashangingi kutuzungukia sisi walalahoi kudai hela ambazo tumezikopa ACB wao awako tayari kusikiliza kilio chetu cha katizo la umeme , wao wanaria na kukusanya tu, je kuna uataratibu gani ikiwa serikari yenyewe imesababisha hasara ya mali
Kama vitu koza (Nyama, Nyanya na ice cream kuyeyuka) kama ni hivyo basi kukitokea katizo la umeme kwa Mwezi mzima TRA wasifke kabisa na kwenye komputa zao wasimamishe kabisa, lakini kwa wale wenye leseni za kufanya biashara ianyohusiana na hali hiyo,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom