Safari ya Odinga kuingia Ikulu yaiva

Joined
Jun 17, 2009
Messages
58
Likes
4
Points
0

KICHAKA

Member
Joined Jun 17, 2009
58 4 0
Ikiwa leo jaji ocampo kataja majina sita ya watuhumiwa wa uvunjaji wa amani Kenya, ni wazi kukosekana kwa Uhuru Kenyata na Ruto katika kinyang'anyiro hicho kunatoa mwanga kuwa safari ya Raila Odinga ni nyeupe. Kama hilo litakuwa hivyo ni wazi siasa za Kenya hazitakuwa na nguvu licha ya kuwepo katiba mpya na hivyo upo uwezekano wa kufunza nchi nyingine kama Tanzania ambazo nazo baadhi ya viongozi wake wengi wakiwa katika CDM waliamua kwa makusudi kuanza kuiga aina hiyo ya siasa. Kufuatia hali hii ni wazi kuwa Tanzania haitakuwa na kazi ya kubaini waanzilishi wa siasa za vitimbi kama nchi itaingia katika machafuko mwaka 2015 kwa kuwa sura na matendo yao yameanza kujionyesha mapema kabla ya wakati. Ni wazi hili ni funzo kubwa na linaweza kuchukua miaka kama waliolenga kutumia mbinu hii watakapokuwa na kazi ya kuumiza vichwa kutafuta njia nyingine.
 
Joyum

Senior Member
Joined
Oct 30, 2007
Messages
153
Likes
0
Points
0

Joyum

Senior Member
Joined Oct 30, 2007
153 0 0

Am not sure if i follow any of this. Can you be kind enough to elaborate?
 
Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Messages
20,564
Likes
1,569
Points
280

Kigogo

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2007
20,564 1,569 280
unacheza wewe..unzijua siasa za kenya au unasikia tu..Odinga hatakaa aje kuwa rais wa kenya kama ilivo kwa maalim Seif huko zanzibar
 
Michelle

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Messages
7,364
Likes
213
Points
160

Michelle

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2010
7,364 213 160
unacheza wewe..unzijua siasa za kenya au unasikia tu..Odinga hatakaa aje kuwa rais wa kenya kama ilivo kwa maalim Seif huko zanzibar
Kasema nani?wewe ndo hutokuja kuwa,wenzio wana bidii,usimlingalishe Raila na Maalim Seif the guy ana strategies,ana imani ya ndani na nje ya Kenya na anaheshimika,in short ni kiongozi mzuri na anayeweka maslahi ya nchi yake mbele si ya Chama.Mungu ampe uzima,he will build a different Kenya and East Africa.
 
Nancy Tweed

Senior Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
123
Likes
1
Points
0

Nancy Tweed

Senior Member
Joined Nov 22, 2010
123 1 0
Kasema nani?wewe ndo hutokuja kuwa,wenzio wana bidii,usimlingalishe Raila na Maalim Seif the guy ana strategies,ana imani ya ndani na nje ya Kenya na anaheshimika,in short ni kiongozi mzuri na anayeweka maslahi ya nchi yake mbele si ya Chama.Mungu ampe uzima,he will build a different Kenya and East Africa.
Yeye awe na strategy, tactic, game plan or whatever... Kibaki na Kenyatta wa Mungiki, kwisha kazi. Odinga kamwe hatokuwa rais wa Kenya.
 
Forum statistics

Threads 1,204,087
Members 457,130
Posts 28,140,823