Eti Badra Masoud wa TANESCO ametimuliwa katika post ya PRO?

chamajani

JF-Expert Member
Sep 22, 2010
552
0
Wana JF, meskia tetsi kwamba Badra Masoud, yule dada madoido wa lile shirika la Umama Tanesco ametimuliwa katika ile post aliyokuwa akishikilia ya Public Relation Officer, plz mwenye data za uhakika ebu atujuze bac!
 
Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
15,380
2,000
Wana JF, meskia tetsi kwamba Badra Masoud, yule dada madoido wa lile shirika la Umama Tanesco ametimuliwa katika ile post aliyokuwa akishikilia ya Public Relation Officer, plz mwenye data za uhakika ebu atujuze bac!

Heshima kwako chamajani,

Mkuu wewe umetuletea taarifa za kutimuliwa Badra Masoud halafu unaomba mwenye data za uhakika atujuze !.kumbe habari zako hazina uhakika jaribu kuwa makini kidogo usitake kutuchanganya hapa.
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
214,712
2,000
Wana JF, meskia tetsi kwamba Badra Masoud, yule dada madoido wa lile shirika la Umama Tanesco ametimuliwa katika ile post aliyokuwa akishikilia ya Public Relation Officer, plz mwenye data za uhakika ebu atujuze bac!

Wapo wanaosema alikuwa ni chakula ya Dr. Rashid.................................kwa hiyo kuondoka kwa Dr. Rashid ni lazima kutasababisha maumivu kwa watu wake.................................ila sijui habari hii kama ni ya kweli.......................

Lingine hana ujuzi wa kazi hiyo ya kuzungumzia masuala ya kiufundi wakati yeye siyo wa taaluma husika....................it was manpower misallocation of the highest order......................................
 
Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,174
0
wafuasi wote wa idrisa lazima watoke?

Yes chini ya William (Mhando) umeme umepatikana, hakuna mgao wa umeme tena, Doawns watalipwe vizuri tu, tatizo la Taneso in short ilikuwa Idrisa (rashidi) basi kwakuwa ameondoka sasa wizara inaenda vizuri sana...umeme umeshuka bei, kero za umeme zimeisha...bravo William safisha hao wote wafuasi wa idrisa waikuletea balaa.
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,065
2,000
kuweni na heshima kidogo na watu msiowafamu vizuri.............

bBadra yupo tanesco kwa mkataba.mkataba ukiisha sio lazima ku renew...............
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
39,871
2,000
Lingine hana ujuzi wa kazi hiyo ya kuzungumzia masuala ya kiufundi wakati yeye siyo wa taaluma husika....................it was manpower misallocation of the highest order......................................
Ruta, kwani kuwa PRO wa technical company lazima uwe technical man?. Nitajie PRO mmoja tuu ambaye ni technical man, nami nitakutajia ma PR 10 wazuri tuu kwenye taasisi za technical ambao ni watu wa press
kama Badra.
 
Nsiande

JF-Expert Member
Jul 27, 2009
1,649
1,195
Ruta, kwani kuwa PRO wa technical company lazima uwe technical man?. Nitajie PRO mmoja tuu ambaye ni technical man, nami nitakutajia ma PR 10 wazuri tuu kwenye taasisi za technical ambao ni watu wa press
kama Badra.
Ruta's definition of a PRO was misleading of highest degree...
 
mams

JF-Expert Member
Jul 19, 2009
614
195
Kama alivyoingia Tanesco hamkushangaa, kwa nini mnashangaa kutoka kwake!
 
Bantugbro

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
4,460
2,000
Ruta, kwani kuwa PRO wa technical company lazima uwe technical man?. Nitajie PRO mmoja tuu ambaye ni technical man, nami nitakutajia ma PR 10 wazuri tuu kwenye taasisi za technical ambao ni watu wa press
kama Badra.

Inawezekana amechanganya na CIO/CTO..
 
samora10

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
7,587
2,000
Tatizo sio badra kutimuliwa.. sytstem nzima imeoza pale wafyagie wote waweke wachapa kazi

tanesco inahitaji overhaul ya kufa maana

sasa ukimtimua badra wengine wako pale pale unakua umefanya nini?
 
Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,174
0
Tatizo sio badra kutimuliwa.. sytstem nzima imeoza pale wafyagie wote waweke wachapa kazi

tanesco inahitaji overhaul ya kufa maana

sasa ukimtimua badra wengine wako pale pale unakua umefanya nini?

Hakuna shida tanesco bana, Tatizo ilikuwa Idrisa na sasa hayupo kimya william anakula kwa ulaini...nchi hii bana kuna watu wana gundu...
 
bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
3,906
2,000
Wapo wanaosema alikuwa ni chakula ya Dr. Rashid.................................kwa hiyo kuondoka kwa Dr. Rashid ni lazima kutasababisha maumivu kwa watu wake.................................ila sijui habari hii kama ni ya kweli.......................

Lingine hana ujuzi wa kazi hiyo ya kuzungumzia masuala ya kiufundi wakati yeye siyo wa taaluma husika....................it was manpower misallocation of the highest order......................................

Kalieni uzushi na kuharibu majina ya watu tu............
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom