Lakini CCM si wasafi hata kidogo. Kila mtu anajua.
Mara Zito, mara Shibuda, mara Mbowe, mara Slaa, mara Josephine, mara sijui nini.
Upotoshaji ni upotoshaji tu, hata upakwe rangi vipi.
We...
Mtambo uilopo karibu na nguzo namba moja zinazo peleka umeme wa 132kv umelipuka jana asubuhi na kusababisha dsm kukosa umeme . Badra masoud alisema dsm iliathirika kutokana na kulipuka kwa...
Fellow JF memebers, please enlighten me where possible:
Upon Zitto's suspension from Parliamentary sessions, that time when he became a hero, this guys flew to Dar es Salaam and proceeded all the...
Habari zenu wataalamu?ndugu zangu nimekua najiuliza maswali bila majibu,kwa kifupi ni kwamba mwalim nyerere ni roll model wangu na pia alikua anaona mbali sana,amepata sifa kubwa na heshima kubwa...
Wakati Dr. Slaa na Mbowe bado wakiwa na msimamo wa kutomtambua Rais Kikwete kama mshindi halali. Kamati iliyoundwa kumsikiliza Zitto Kabwe imetoa msimamo kwa niaba ya kamati kuu ya chadema kuwa...
Tajiri wa kiatabu ambaye ni brigadia mstaafu wa jeshi la omani bw suleiman mohammed yahya al andwi alisema alishawishiwa kuja tz na rostam azizi. Tajiri huyu alikuwa na hisa vodacom akiwa na...
Mnyika ajitolea mshahara wake Send to a friend Sunday, 12 December 2010 21:14 0diggsdigg
Geofrey Nyangoro
MBUNGE wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika, ametoa asilimia 40 ya mshahara wake kwa...
nimepata tetesi kuwa nahodha anaandaliwa kuwa rais wa jamuhuri 2015.
sababu ni kuwa CCM wanataka kuokoa makundi yatakayoweza kujitokeza kutokana na mchakato.
hii inatokana na watu wawili...
Napenda kuwapongeza star TV kwa ubunifu walionao kwa kupenda kuweka vipindi vizuri na vinavyoleta tija katika taifa letu. Jana kulikuwa na kipindi kizuri sana kuhusu mjadala wa KATIBA MPYA. Me...
Nileongea na padri mmoja huko Sumbawanga kuhusu suala la waamini waliotengwa. Alinieleza kosa lililofanywa na waamini hao lilikuwa kushabikia suala la Utatu Mtakatifu kutumika katika kufananisha...
Wanajamvi na wataaalamu
.
Wanasiasa, wanasheria na watu wengi hivi sasa kilio chetu ni katiba mpya. Wengi tuna refelct mapungufu ya NEC kama pungufu mojawapo la katiba ya sasa.Naomba kuelimishwa...
CHADEMA yaiponza CCM
na Christopher Nyenyembe, Mbeya
USHINDI mkubwa na wa kimbunga uliolikumba jimbo la Mbeya Mjini na kupoteza kiti cha ubunge na viti vingi vya udiwani vilivyokuwa...
Wanajamii,
What areas to consider when doing a 'self apraisal' katika kazi tofauti tufanyazo,
Najua huu ni ulingo wa great thinkers hivyo naomba tubadilishane UZOEFU katika hili.
Naomba...
Hii serikali ya mseto ya aina yake ya Ivory Coast imechelewa sana kuja. Ulikuwa uwe mfano mzuri sana wa kuigwa na Tanzania, kwa kuwa sisi ni mahiri kwa hilo. Kama tulivyoweka serekali ya mseto...
kwa kweli kila nikijaribu kujiuliza hii sera ya udiwani wa viti maalum nashindwa kuelewa mchango wake ni nini, ukizingatia kila jimbo linatoa madiwani wa viti maalum ambao sio chini ya kumi.
hivi...
Nikiwa kama mtanzania wa kawaida ambae ninaipenda nchi yangu,sina budi nikitoa maoni yangu.
Nimejaribu kufatilia sana siasa za Tanzania tokea uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995 kipindi cha...
WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Iringa wameanza kazi kwa kishindo ikiwa ni pamoja na kupokea maombi ya wananchi wanaotaka Katiba mpya.
Wabunge hao: Mchungaji...
Ndugu wana JF,
Nimesikitishwa sana na habari kuwa jumba la sanaa limehamishwa ili kupisha ujenzi wa gorofa ya kigogo mmoja ambaye alishawahi kuwa waziri mkuu. Jumba hili ni la muhimu sana na lipo...
kwa wale wafuatiliaji na ambao wangependa kujua kuhusu hii kesi, Itaanza kusikilizwa february 3, 2011 katika mahakama kuu hapa Dar es Salaam.
Taarifa hiyo ilitolewa jana katika viwanja vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.