Ushauri wa bure kwa CDM:
-Zitto ni world player, wamuheshimu tena wamuombe radhi.
-Wawe makini na MBOWE, huenda akawa shushushu (pandikizi la serikali)
-Wabunge wake wasitafute sifa kwenye...
NSSF, PPF NA WENGINE WANADHULUMU WANACHAMA WAO
Taasisi nilizozitaja huwa sizitofautishi sana na mtu uliyempa kazi ya kukusanyia pango ya nyumba yako na akutunzie pesa zako lakini pia utampatia...
Nakumbuka kuliwahi kuwepo na nishani za Uhuru, Nishani ya Utumishi wa Muda Mrefu, Nishani ya Utumishi Uliotukuka, Nishani ya Vita ya Kagera, Nishani ya Kilimanjaro (the highest civilian medal) n.k...
Leo Wananchi Tukiangalia Makosa na Uhaini CCM Imeifanyia Tanzania, Tutaona Hata Mara Moja Viongozi wa CCM Hawatoi Msamaha Wala Kukubali Wamewaumiza Wananchi Wao. Tukianzia Rushwa, Umaskini na...
mnakumbuka
UKUTI UKUTI WA MNAZI WA MNAZI WA .... WA..... TUMPELEKE MNAZI MMOJA TUMPELEKE MNAZI MMOJA HAPO MNAZUNGUKA MPAKA KIZUNGUZUNGU YAANI KAMA NAMWONA HUYU WAZIRI ANAVYOANZA KUIMBA NA KUANZA...
Zitto awatikisa Chadema
Sunday, 12 December 2010 21:38
Boniface Meena
KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeunda jopo la wazee wa...
1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega, Tabora
Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda- Tanga mjini
Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria-Igunga
Kulipa madeni...
Tukitembelea Nchi Nyingi Duniani Tunaona Jinsi Gani Instutions Nyingi Katika Nchi Zao Zinavyofanya Kazi Lakini cha Kushangaza Tanzania Wafanya Biashara Hasa Wakubwa Kama Mengi Wanakula Sahani Moja...
WanaJF wenzangu,
Nawashukuru kwa kuniunga mkono katika uchaguzi na kuniwezesha kuwa mbunge wa wote wa Jimbo la Ubungo. Tuendelee kushirikiana kutimiza wajibu katika kipindi cha mwaka 2010-2015...
Tumekuwa tukisikia kwenye vyombo vya habari kuhusu migogoro inayoikumba Chadema kwa sasa, baadhi ya viongozi wa chadema wameamua kuhama Chama!! na yote hii ni mbinu ya CCM kuvunja nguvu za...
Magazeti ya leo ya Uhuru na Nipashe yamebaini ya kuwa CCM kunafukuta moto na chanzo chake ni kuwa wapo viongozi wengi ambao hawaridhiki na jinsi kura za maoni zilivyofanyika ndani ya chama hicho...
Kweli hii inanishangaza sana, Kila hatua wanayochukua CDM au kiongozi ndani ya CDM ni mjadala kila mahali, wakati mwingine habari itapotoshwa na kuwekewa vikorombwezo kibao. Lakini kitendo cha...
Juzi kulikuwa na Kamati kuu za vyama viwili vikuu vya CDM na CUF lakini inayozungumzwa na kujadiliwa zaidi ni CC ya Chadema. Tukubali ukweli Chadema inakua karibu kitakuwa baba wa mageuzi ni...
Chama cha mapinduzi CCM Wilaya Rorya kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili kutangaza kuachia nyadhifa zao
Waliochukua hatua hiyo ni Ongujo wakibara Diwani wa kata ya Mkoma shirati na...
Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa Zitto kwa siku nyingi sana hapa JF na kwenye vyombo vingine vya habari duniani. Nimekuja kuanza kupata mashaka na mwenendo wa Zitto kama wengi wanavyosema pale...
Leo magazetini hasa gazeti la mwananchi limeelezea juu ya mabadiliko hasa ya wakurugezi na nafasi mbili za manaibu makatibu wakuu bara na visiwani yametangazwa, Kwa upande wa bara Ndugu Mtatiro...
Habari zenu wataalamu?ndugu zangu nimekua najiuliza maswali bila majibu,kwa kifupi ni kwamba mwalim nyerere ni roll model wangu na pia alikua anaona mbali sana,amepata sifa kubwa na heshima kubwa...
na Mwandishi wetu
MKUU wa Wilaya ya Masasi, Nape Nnauye, amewashauri Watanzania kuacha itikadi za vyama, kuungana kwa pamoja na kuandamana ili kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya...
Kwa wapenzi wote wa mambo ya kijasusi nadhani hii article itakusisimua!. Click this link and enjoy.
The Covert War Against Iran's Nuclear Program - Newsweek
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.