Baraza la mawaziri la Dr slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la mawaziri la Dr slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Tasia I, Oct 5, 2010.

 1. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wakuu heshma zenu, mimi jamni nasapot kwa nguvu zangu zote CHADEMA na Dr Slaa, lakini swali langu ni kua hivi kama dactari kishinda, si atakua na wakati mgumu katika kuunda baraza la mawaziri? hii iktokana na uhaba wa wabunge ambao ndio watakao teuliwa kua mawaziri!!

  Nipeni maoni hapa jamani.
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mambo yandani mrema Augustinon TLP, Uchumi LIPUMBA, BIASHARA VIWANDA CHEYO MAPESA , SHERIA MTIKILA, MAMBO YA NJE ZITO KABWE, WAZIRI MKUU MBOWE. WANAWAKE NA WATOTO ANA..TAMWA
   
 3. W

  WildCard JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hii ni kununua mbeleko kabla mtoto hajazaliwa.
   
 4. Ngaramu

  Ngaramu JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hayawahusuuuuuuuuu..... Nani kakwambia atakuwa na wabunge wachache?????????????


  Hatudanganyiki 2010
   
 5. l

  lembeni Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mawaziri vivuli?
   
 6. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #6
  Oct 5, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  acha uchuro wewe! Chadema wamesimamisha wagombea kwenye majimbo 187 unajua watapata viti vingapi vya bunge? Na baraza la mawaziri la dr slaa litakuwa dogo, mawaziri 20 tu, vile vile raisi anaruhusiwa kikatiba kuteua wabunge 10, bado kuna wabunge wa viti maalumu nafasi kibao, bado hujaelewa kijana? Baadae tutaanza mchakato wa kubadili katiba ili kuwafanya mawaziri kutotokana na wabunge! Hivyo raisi ataweza kuchagua mawaziri nje ya bunge ili waweze kuwajibika ipasavyo kwa bunge
   
 7. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Umetumwa wewe si bure!!
   
 8. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,866
  Likes Received: 11,982
  Trophy Points: 280
  Lafudhi kama MS vile.
   
 9. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  MMeshafanya uchaguzi wenu wa ndani sasa mnakuja kutuhadaa ili mjue tunajua nini.
  Waliokutuma wamepotoka
   
 10. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  chagua kwnza...mambo mengine badae
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Majibu ya executive yanatosha sina haja ya kuongezea.
  Out of 187 ata akipata wabunge mia then out of mia mawaziri 20 watatoka umo.
  Ila namshauri for the sake of buidling our nation which is so behind kuna haja ya kuunganisha nguvu kwa kuchukua ata watu competent toka vyama vingine as wote tuu watanzania.
  Uyu kijana ananikumbusha swali la Kasesera kwa ITV mdaharo wa wabunge vijana alipouliza mbona CHADEMA WATAKUWA NA WABUNGE WACHACHE.
  Zito akamjibu mbona ata uchaguzi bado umejuaje kama tutapata wabunge wachache
   
 12. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hizi ambazo ziko kwenye red, are you serious????????? Cheyo, do you really know him??? Huyu ni tapeli kuliko hata hao CCM tuanotaka kuwatoa. Mtikila... too confrotational and too contraversial
   
 13. N

  Ngurudoto JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 208
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mhe. Freeman Mbowe (Mb-hai)...
   
 14. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Wewe utakuwa waziri wa 'safari za nje za Rais'!!!!!!!
   
 15. M

  Miruko Senior Member

  #15
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 8, 2008
  Messages: 173
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Waziri mkuu atategemea chama gani kitakuwa na wabunge wengi. Katiba ya Tanzania inasema waziri mkuu hutokana na chama chenye wabunge wengi.
   
 16. N

  Ngurudoto JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 208
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  JF, Hivi Tunazungumza Uchaguzi kama Referendum ya Serikali ya CCM ambayo ni sahihi katika demokrasia ambayo Incumbent anaomba ridhaa kuendeleza mambo aliyoanzisha Kwa kipindi kingine.

  CHADEMA, Chama kikuu cha Upinzani Tz kikipewa ridhaa ya Kuongoza sisi wa WaTZ lazima kitakuwa na Serikali yake ambayo itakuwa na viongozi makada wa Chama Hicho wenye ushawishi..Mwenyekiti wa CHADEMA,ambaye anatarajiwa kuwa Mbunge wa Hai, Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe, ndio atategemewa kuwa WAZIRI MKUU WA 12 wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, chini ya RAIS WA AWAMU YA TANO WA TANZANIA, MHE. DK. WILBROD PETER SLAA..

  Je, NAFASI YA WAZIRI MKUU MTEULE, MHE. AIKAELI MBOWE (MBUNGE WA HAI) KATIKA SERIKALI YA RAIS DR. SLAA INACHUKULIWAJE, MBOWE KUMRITHI PINDA UONGOZI WA SERIKALI IJAYO KUNAWEZEKANA?
   
 17. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  All things are possible :)
   
 18. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  mbowe na slaa wote ni great thinkers i gues tanzania itaelekea kwenye next level,hapo itakuwa njema saaana
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  In five years time uje uicheki Tz walai ata wale walio ughaibuni wataludi
   
 20. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,500
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Mi nisha anza kufungasha..................Unless otherwise.................!!!!
   
Loading...