Zitto arudishiwa uongozi wa Bunge na CHADEMA, wamtambua Kikwete

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Kamati Kuu ya chadema imemtambua JK kama Rais halali na kuagiza wabunge kushiriki shughuli zote za kitaifa. Kamati Kuu imekataa kura ya kutokuwa na imani na Zitto mpaka asikilizwe kwanza kwa mujibu wa natural justice.

Kamati kuu ya CHADEMA imeunda jopo la wazee wa chama chini ya prof. Baregu kumsikiliza Zitto na matatizo yake na viongozi wengine wa chama ili kuleta suluhu ndani ya chama. Jopo hilo lina Shida Salum, Kitila Mkumbo kama Katibu, prof. Baregu na Shilungushela.

Wabunge wa CHADEMA wameagizwa kukutana na Zitto kwanza kabla ya kuchukua maamuzi yoyote kisha walete taarifa kwenye kamati kuu.
 
Kuna taarifa kwamba Kamati Kuu ya Chadema imemrudishia Zitto nafasi yake ya Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni na kuunda kamati ya wazee kuchunguza mgogoro huo.
 
Aha,hii ni habari nzuri pia!
Duh,yaani wana wapiga chenga mafisadi na mipango yao maana nilisikia walikuwa wamesha panga kumnunua jamaa
 
Kamati Kuu ya chadema imemtambua JK kama Rais halali na kuagiza wabunge kushiriki shughuli zote za kitaifa. Kamati Kuu imekataa kura ya kutokuwa na imani na Zitto mpaka asikilizwe kwanza kwa mujibu wa natural justice.

??Kamati kuu ya CHADEMA imeunda jopo la wazee wa chama chini ya prof. Baregu kumsikiliza Zitto na matatizo yake na viongozi wengine wa chama ili kuleta suluhu ndani ya chama. Jopo hilo lina Shida Salum, Kitila Mkumbo kama Katibu, prof. Baregu na Shilungushela.

Wabunge wa CHADEMA wameagizwa kukutana na Zitto kwanza kabla ya kuchukua maamuzi yeyote kisha walete taarifa kwenye kamati kuu.

CDM you are strategically growing and politically convincing the majority. That is a nice strategy towards settling internal disputes. Bravo CDM
 
Hapo naona chadema wanagawanyika hat a katika level ya wazee, zee mtei nje, ndesamburo nje, na winging tuliwazoea... Kuna makundi mawili ya wazi, chagga oriented na opposite yake anyways like Alexander the Great once said :"i am not afraid of an army of lions led by a sheep but worry about anarmy of sheep lead by a lion". Naona chedema Freeman ni sheep
 
NCCR MAGEUZI wamemuahidi Uenyekiti wa Chama na agombee urais mwaka 2015 kama walivyofanya kwa AL.Mrema. Dogo bado analitafakari hili ingawa kuna nguvu kubwa ya marafiki zake wa CCM wanaotaka kumsajili kwa udi na uvumba!! CUF nao wanamtaka kwa mgongo wa udini, wanapiga chapuo eti hayuko salama akiwa CHADEMA!!!! Kwa kweli nchi hii imelaaniwa kama mambo yenyewe ndiyo haya!!

Huyu dogo mwisho atachanganyikiwa na sijui mtasema nani kamloga!
 
NCCR MAGEUZI wamemuahidi Uenyekiti wa Chama na agombee urais mwaka 2015 kama walivyofanya kwa AL.Mrema. Dogo bado analitafakari hili ingawa kuna nguvu kubwa ya marafiki zake wa CCM wanaotaka kumsajili kwa udi na uvumba!! CUF nao wanamtaka kwa mgongo wa udini, wanapiga chapuo eti waislamu hawako salama wakiwa CHADEMA!!!! Kwa kweli nchi hii imelaaniwa kama mambo yenyewe ndiyo haya!!

Huyu dogo mwisho atachanganyikiwa na sijui mtasema nani kamloga!

Data unazipata kwenye gahawa na wewe unakurupuka tu kuziwasilisha JF.

Tuna taabu kweli nchi hii, majungu,uongo na uchimvi ni sehemu ya maisha ya wengi wetu hapa!!
 
Kuna Mahala Nilisema kwamba si CHADEMA wanaoweza kumtimua Zitto na wala si Zitto anayeweza kujitoa CHADEMA, vyote hivi vinahitajiana na kila mmoja amemsaidia mwenzake kufikia alipo
 
nitaangalia fainali ya CECAFA Challenge Cup kichovu sana, ningechangamka sana kama ningesikia katimuliwa kwenye Chama akaungane na Omar Ilyas kumsaidia Dr Salim Ahmed Salim kurejea kwenye siasa 2015
 
Halisi Kubenea naye yupo kwenye jopo la wazee watakao mkaanga Zitto?
 
There are currently 13 users browsing this thread. (6 members and 7 guests)

Burn,Reyes,Butola,myhem,Quinine,Zitto,

Nakuona kwa mbali, hali yako inaendeleaje ndugu yangu?pole na kuugua haya mengine najua unayaweza sana.
 
Kamati Kuu ya chadema imemtambua JK kama Rais halali na kuagiza wabunge kushiriki shughuli zote za kitaifa. Kamati Kuu imekataa kura ya kutokuwa na imani na Zitto mpaka asikilizwe kwanza kwa mujibu wa natural justice.

??Kamati kuu ya CHADEMA imeunda jopo la wazee wa chama chini ya prof. Baregu kumsikiliza Zitto na matatizo yake na viongozi wengine wa chama ili kuleta suluhu ndani ya chama. Jopo hilo lina Shida Salum, Kitila Mkumbo kama Katibu, prof. Baregu na Shilungushela.

Wabunge wa CHADEMA wameagizwa kukutana na Zitto kwanza kabla ya kuchukua maamuzi yeyote kisha walete taarifa kwenye kamati kuu
.

Tupe data na source!
Kamati unayozungumzia imekaa lini na wapi kufikia uamuzi huo.
Nje ya hapo toa hii pumba yako!
 
Kama tetesi hii na ya kweli, na kwa kuwa kikao cha wabunge kilifanyika chini ya mwenyekiti wa chama na kufikia uamuzi walioufikia, basi ni dhahiri sasa kuwa wajumbe wa kamati kuu wameuona upunguvu wa umakini na busara wa Mwenyekiti wao.
 
QUOTE=MWANALUGALI;agombee urais mwaka 2015

Mkubwa ilo halitawezekana kwa katiba ya sasa. The guy atakua still under 40 years old.
 
QUOTE=Burn;Lazima ulikacha kipindi cha hisabati darasa la tatu.

Duh! Mbona umenipa kheshima ivyo! Hata ilo la tatu sikufika!
 
kama ni kweli kamati kuu ime tumia busara japo isiishie hapo kwani Zito haeleweki ni mpenda makuu anavyo onekana kwa nje ndani ni tofaut mfano wa watermelon nje green ukilikata ndani read,la msingi akiri kosa na asirudie utoto wake na asiote uraisi 2015 kwa tabia yake hiyo hafai kuwa kiongozi kama anaweza kuki saliti chama kilicho mtoa kusiko julikana hadi kujulikana ana weza hata kuuza nchi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom