Rasimu ya Katiba Mpya Kutoka Kwa Wana JF

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
736
195
Habarini Wandugu,

Kwanza kabisa nichukue fursa hii kuwapongezeni wale wote wenye michango yenye tija kwa taifa letu.

Niendelee na mada kwa kusema ya Kwamba Sisi Kama jamii yenye kuelewa nini kinachotokea ndani ya nchi yetu huu ndio wakati sahihi wa kufanya mambo kwa vitendo. Humu ndani tuna watu wenye kuwa na fani mbalimbali, so tukiamua tunaweza kuanza kuainisha ( Higlighting) vipengele tofauti tofauti ndani ya katiba ambavyo ni kandamizi na then kuvijadili ili kuleta mbadala wake. Then mwisho wa siku nasi tunaweza kuwasilisha rasimu yetu serikalini.
Miaka Mitano si mingi kama tunavyofikiri, tujitahidi kufanya mabadiliko ya ukweli ili ikifika kipindi cha uchaguzi 2015 makosa yaliyotokea mwaka huu yasijejirudia.

Nawakilisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom