Jamani MBEYA na Wanamapato!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani MBEYA na Wanamapato!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mnyitono 2, Dec 15, 2010.

 1. M

  Mnyitono 2 Member

  #1
  Dec 15, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi sasa ni heri kuishi bila kuwa na vyombo vya usafiri kama vile magari n.k,hapo mwanzo walikuwa wakilipia parking kwa siku na kiwango kikitegemea aina ya gari.Lakini sasa imetangazwa kwamba michango hiyo ya parking ni kwa saa.Je, tunaelekea wapi? Naombeni mnielimishe mwezenu.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Inaelekea hauelewi tofauti ya Mji na Jiji.
   
Loading...