Vyombo vya habari Tanzania na hatma yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyombo vya habari Tanzania na hatma yetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Augustine Moshi, Nov 15, 2007.

 1. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2007
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,212
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  I had the misfortune of reading an article on the English section of ippmedia.com today. It badly hurt my feelings. To let you know what I mean, I will paste it below, with my comments liberally inserted in blue:
  ===========================

  Population of Tanzania now 39 million

  2007-11-14
  By Juma Thomas, Dodoma

  Assuming a contant population growth rate of 2.9% per annum, there should be 58 million of us in 2025. If that will require 42,000 nurses per dispensary, then, as we are 67% of the 58 million now, we must have a requirement of 28, 140 nurses per dispensary now! What about hospitals and doctors? What did you really want to say?

  On another level, let me assure Juma that we cannot sustain the current population growth rate. We are dying of AIDS, remember? Besides, the place is swarming with abortionists who maraud as family planners.

  The birth rate couldn't possibly be increasing at 2.9% It must be the population that is growing at that rate. Juma can surely distinguish between growth in birth rate and growth in population? Our birth rate has not grown. It has infact shrunk from 3.1% to 2.9%. Due to AIDS and the preponderance of anti life groups like UMATI, we are increasing more slowly than we used to. Still, it is not enough for them. Looks like they will not rest until we start to decline more rapidly.

  I doubt that a whole Director of Statistics would have said that. Do not put words into her mouth, Juma. It is possible to have no increase in birth rate and yet have a rapidly growing population. For example, a constant (zero increase) birth rate could still result, at least theoretically, in a 5% annual population growth rate. That would increase us to 94.8 million by 2025!
  You already said that, and it does not make much sense.

  We need people to develop. Who cannot see that it is the countries with large populations that are developing most rapidly? Look at China and India. Nobody has anything close to their populations. In Africa, look at Nigeria. They have more than a 100 million people there, in a land whose arable area is a lot smaller than that of Tanzania and they are developing rather fast. No, we need more people, not fewer.

  Juma, percentages mean nothing if you do not say what they are percentages of. So, we will increase from 64.5% to 86.5% of what? This statement of yours hurt my feelings. I expect our journalists and their editors to do better than this.

  It is not up to a government bureau to decide how many children each of us should have. God, and we, His cooperators, hold that right.

  I recall that Victor studied Biology at Mkwawa. I should know, because I was there studying Maths at the same time. Is that you Victor, or is your name shared by another? If it is you, then you are simply cracking a joke (as always). You know that Statisticians, particularly those of the variety that is to be found in the Bureau of Statistics, can give no such explanation.
   
 2. A

  Atanaye Senior Member

  #2
  Nov 15, 2007
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 153
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  An addendum...

  Population growth rate formula...

  Growth rate = [(Births=Immigration) - (Deaths + Emigration)] / Population
  Nafikiri hii itaweza kusaidia kwa wadau wanaotaka kuongeza Takwimu!
   
 3. A

  Atanaye Senior Member

  #3
  Nov 15, 2007
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 153
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wasomi:- Sijui ni darasa langapi mpaka la ngapi lakini Tanzania tunajivunia kuwa na pasenti %78.2 ya wasomi(kusoma na kuandika) Tunawashinda hata majirani zetu (EAC):eek:!
   
 4. O

  Ogah JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mwl Moshi.

  Yaani nimecheka kweli kwa hiyo statement ya Victor.....on the othetr note...hawa waandishi wa habari wengi waliopo ni wal amabo somo la hesabu lilikuwa ni kituo cha polisi............its really sad kuona Juma anashindwa kutofautisha kati ya growth of birth rate na population growth rate.

  Inasikitisha zaidi pale ambapo anaandika kutumia %ge bila kuelewa....hizi lugha zina style yake ya uandishi.

  anyway, tuendelee kuwaelimisha
   
 5. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mwal.
  1. Hata mimi siamini kuna haja ya nchi kubwa kama Tz kuwa na sera ya kupunguza idadi ya watu eti tuzae watoto wachache-hii ni kuiga tu wanachopenda wazungu waone! Sii kwa maslahi ya taifa!

  2. Tatizo langu kubwa ni kwa wasomi Watz yaani wamekuwa na life style ya kupenda kuzaa watoto wachache kama wazungu- sijui kwa nini eti mtoto 1 tu au 2 wanatosha! Kwa hiyo ukiwaachia wamachinga na watu maskini kuzaa watoto wengi- hata kuwapa huduma inakuwa shida!

  3. Kuna haja kuwakumbusha wasomi- (may be kuwaelimisha???) hii tabia sii nzuri for the future welfare of our nation! Angalau basi watoto 4 iwe ndo minimum- maximum.....may be 7-8??????

  Mwalimu unasemaje?
   
 6. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Kwa mtazamo wangu binafsi, watu wanaoamua kuzaa watoto 2 wana point, kadhalika wanaoamua kuzaa 8 nao wana point. Swali gumu ni nani kati ya hawa ana-reflect interest ya taifa kwa ujumla.

  Tupende tusipende maamuzi ya idadi ya watoto ni sawa na maamuzi mengine ambayo mtu binafsi anatumia utashi wake katika kuamua. Watoto wa binadamu sio kama wa panya wanaokimbia na kung'ata miguu ya mwenye nyumba mara wanapozaliwa. Watoto wa binadamu kwanza wanakuwa liabilities, then wakikuwa wanakuwa assets kwa wazazi.

  Mzazi anayeamua kupunguza liabilities/watoto kwa kuzaa wawili tu manake ameamua kutumia kipato chake katika sehemu nyingine muhimu. Hajakosea. Na mzazi anayeamua kuzaa watoto 8 manake ameamua kusahau matumizi ya leo ili awe na assets baadaye. Hajakosea.

  Katika maisha ya leo ya Tanzania, ambapo mamilioni ya watu hawana ndoto za kuvuka mstari wa ufukara na ambapo hakuna utaratibu madhubuti wa kulea vibibi na vizee, bima pekee ya mzazi ni kuwa na idadi kubwa ya watoto ambao watakuwa assests (social workers)mara mzazi anapokuwa kijeba. Kwa mzazi huyu, bima ya uzeeni ambayo ni watoto ni muhimu sana kuliko shuruba anazopata leo katika kuwalea. Mzazi ambaye tayari bima yake ya maisha ameshaiandaa aidha kwa kuwekeza au kutunza ela ambazo zitamsadia wakati wa uzee anaweza kuamua kutozaa watoto wengi, ili apunguze matumizi yasiyoyalazima. Hajakosea.

  Swali ni je, nani kati ya hawa ana-represent interest ya Taifa? Kwa taifa maskini lisilo na taratibu za kulea vizee na vibibi,bora mzazi anayezaa watoto 8. Je hii ni interest ya taifa? Sidhani, maana taifa maskini linalokazania kubana matumizi, ongezeko la idadi ya watu ni mzigo. Hivyo kuna nguvu mbili zinazopingana hapa, upande moja serikali inataka kubana matumizi wakati huo huo watu wake wanataka kujikimu kwa kujiwekea bima ambayo serikali imeshindwa kuwawekea. At the end of the day ni mwanzo wa gurudumu la umaskini.

  Mzazi anayeamua kuzaa watoto 2 tu kashaona kwamba serikali haina mpango wa kutoa bima na hivyo kajiwekea tayari benki ama ana pensheni inayompa uhakika kwamba hatahitaji watoto atakapokuwa kizee. Je hii ni interest ya taifa? Sidhani, maana taifa la kesho ndio linasinyaa, huku likisinyaishwa zaidi na ukimwi. Vita vya uzazi wa mpango sasa vimekalia kuti kavu mana vifo vya ukimwi tayari vimesha impose order ya population ya mpango to the extremes.

  Suluhisho? Serikali iwe na mipango madhubuti ya kutoa bima kwa vizee na vibibi ili wapunguze idadi ya watoto. Wakati huo huo, serikali itilie mkazo magonjwa yanayotibika na kuepukika ili kupunguza idadi ya vifo vya watoto wakati wa uzazi. Kwa njia hii, wazazi hawatazaa watoto wengi ili kujihami uzeeni, na watoto watakaozaliwa watahakikishiwa uhai (kumbuka kwenye idadi kubwa ya vifo vya utotoni wazazi huzaa zaidi mana, hawana uhakika na uhai wa wanayemzaa).
   
 7. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2007
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,212
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Asante Atanaye kwa kuanisha mambo kwa fomula. Uduni wa makala zinazotoka kwenye magazeti yetu unatokana na uvivu wa waandishi wetu. Kuna wakati naamini kwamba waandishi wa The Guardian na Editor wao aidha ni vipunga wa kutisha, au wanakwenda kazini na hangover kila siku. Wanatoa mfano mbaya sana wa uandishi kwa vijana wetu wa sekondari.

  Swali alilouliza Mzalendohalisi kuhusu idadi ya watoto wanaozaliwa na wasomi linanigusa sana. Tunazaa wachache kutokana na kukosa uwezo. Hata hivyo, tunafanya makosa. Binafsi nahusika na haya makosa. Baada ya kukua zaidi kiumri na kiimani, naelewa sasa ni ubinafsi mkubwa kutozaa watoto wengi.

  Mzalendohalisi anaonya ni kosa tunavyowaachia Wamachinga tu ndio wazae watoto wengi. Fidel Castro aliandika makal iitwayo "The Geography of Underdevelopment". Anasema kwamba wenye kipato kidogo hawana anasa zinzozotegemea fedha kama za sinema. Wamebaki na anasa moja tu, ya kuzaa. Wanaitumia vipasavyo.

  Westerners are paying the wages of the sins of the anti-life movement of the sixties. People in the West hate children. Even landlords have been known to refuse housing to families with children. People are going to extremes to avoid giving birth. In the US, they murder 4 million babies in the womb each year. I know Tanzanian guys who have been so much turned against children that they underwent vasectomy.

  Brothers and sisters, we are living in a culture of death. It is people among us, people like UMATI, who are leading the battle against life. We live with murderers of the most defenseless of all humans. These are the otherwise innocent looking people who have no qualms about killing babies in the womb.

  No, Ms. Chuwa and company, we are not too many. In fact, there are not enough of us. And we are dying off too rapidly. Worry about our death rate and leave our birth rate alone.
   
 8. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mgonjwaukimwi,
  Interesting insights! On my view;

  1. Scenario of many children is good for the nation-you know once as a society we get used to have a small family it may be difficult to Reverse the trend in the future- see what is happening in Europe now -couples are given incentives of money to reproduce more children!

  2. Eight (many) quality children (well brought up) from wasomi is a huge assert as export to US, Japan and Europe where couples do not now desire to have many children! This may be a great source of forex for the nation in the future!
   
 9. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2007
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,212
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Mzalendo,
  It might be good idea to produce goods for the US market (the whole world is doing nothing else), but to produce babies for that market is way out of line. Babies are beautiful. In fact, they are too beautiful to be produced for anyone other than us.

  Like I said, Ms Chuwa's US counterpart has a statistic that shows they murder millions of babies in the womb annually. They hate babies over there. They hate them with a big hatred. And they would like us to copy them. So, they give scholarships to a few unsuspecting people among us and teach them that we are too many.

  The devil likes to present a lie as truth. It is a lie that we are too many. But this lie is constantly being presented as the truth.
   
 10. A

  Atanaye Senior Member

  #10
  Nov 16, 2007
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 153
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  This is even scarier than the recent grandmisconduct at Muhimbili!
  I think Tanzanians should question their members of parliament what their strategies are to overcome such shortages!

  As members of Parliamment are seeking to improve quality of life(economically and socially) for their constitutiency , The need to know why other regions have more women than the other is absurd!
  Bwana Mwambalaswa, Yaani hii itasaidia vipi? unatumia mantiki gani hapo? Nafikiri hili swala hapa ukaulize bungeni! Serikali imejiandaa vipi? na Vilivile Jimbo lako limejiandaa vipi na wewe kutaka kujua hayo ya wanawake!!
  Why not ask the Government What strategies they have to address the above how they will cope with the situation assuming the trend continues?
   
 11. m

  mwewe Senior Member

  #11
  Nov 16, 2007
  Joined: Jul 17, 2007
  Messages: 125
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimesoma article kwenye Mwananchi ya leo - Waziri Maghembe ameshangaa kukuta shule ya Kighare kwenye jimbo lake ina wanafunzi 72. La kwanza mpaka la saba. Mwaka huu inategemea kuandikisha watoto wanne kujiunga na darasa la kwanza.

  Sababu: Wananchi wa pale hawazaani vya kutosha. Is this to be emulated by other Tanzanians. Afterall, itatusaidia kwenye MMEM.
   
 12. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Wewe Mwewe,
  What kind of emulation are you talking about! Na kutusaidia ktk MMEM unamanisha nini?

  27 pupils at a primary school- haihusiani na popn growth kwa Tanzania huenda kuna sababu tu nyingine- wananchi kutohamasika kupeleka watoto shule, or it is a normadic society n.k

  As a country we need more people now- than before!
   
 13. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mwal. Moshi,
  Interesting!
   
 14. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Unazani idadi ya wanaozaliwa ni sambamba na idadi ya wanaoandikishwa shule? hakuna uwezekano kwamba watoto wako mitaani au mashambani wakisaidia kuleta mkate nyumbani?

  Je kuna uwezekano shule mbili zikawa katika sehemu moja na moja ikawa inasajiri watoto wengi kuliko ya karibu yake?

  Je kuna uwezekano kwamba wanazaliana vyakutosha isipokuwa watoto ufa kwa maradhi kabla ya umri wa kwenda shule?
   
 15. U

  Ufunuo wa Yohana JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2007
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 317
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 35
  Sababu wanazotoa UMATI juu ya kutozaa watoto wengi ni uchumi lakini kinyume chake watu walio na mihela mingi leo hii ndio wana mtoto mmoja mimi nilitegemea wazae zaidi kulingana na pesa walizonazo.

  Waafrika maendeleo tutayasikia tu kwani tunaruka steps za maendeleo. Tunaiga na kurukia ilani za uchaguzi za nchi nyingine za ulaya ambazo msingi wake hatuujui itatuletea shida ktk kuitekeleza ktk mazingira yetu(CCM na makama ya kadhi).

  Waacheni wazungu waendelee na mpango wao wanjua kwanini wamefikia uamuzi huo. UMATI nao ni njaa tu na misaada ya uzazi wa mpango wakati wao hawajui wanachofanya ila ni mkono ukiingia kinywani.
   
 16. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Kula 5 Ufunuo,

  sasa je nini kifanyike kupunguza haya mambo ya kuiga? One practical advice- kama wewe ni msomi na sasa una 2, or 3 children- (kama umri unaruhusu) then ongeza hata wawili wawe watano! Utakuwa umechangia sana kurekebisha haya mambo!

  Mimi siomini in 2 or 3 children- nnaona zaidi may be tunakuwa sana wabinafsi- we are afraid to mic opportunities kwenda kutanua Mauritius, SA, Z'bar N.k. Hii mambo ya kutanua sana kwa Tz ni anasa tumeiga kwa wazungu! Sii jadi yetu- we compromise matanuzi at the expense of watoto malaika wazuri- is this fair? Haswa kwa wasomi?

  Jiulize- nyie mlizaliwa home wangapi zamani? Eti Profesa (Full) Mtanzania unakuta ana mtoto mmoja! Mimi nashidwa kuelewa!
   
 17. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #17
  Nov 17, 2007
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,212
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Mwewe ameleta habari za shule ya Kighare kwenye maeneo ya Waziri Maghembe kuwa na watoto 72 tu. Sababu kasema ni kwamba watu wa pale hawazai vya kutosha. Naona kama mwaka huu wamepata watoto wanne tu wa kuingia darasa la kwanza, basi hawazai kabisa!

  Mie naona Waziri Maghembe awasiliane na Mbunge Mwambalaswa washughulikie hili tatizo. Ni tatizo nyeti sana. Wafanye mpango ziada ya wanaume iliyoko Tabora na ziada ya kina dada iliyoko Iringa ziende huko. Nakwambia hao kina baba na kina dada waliozidi sehemu zao wakikutana hapo kwa Maghembe patafurika watoto haraka sana.

  Lazima tuwe practical jamani! Kuna upungufu wa watoto kwa Maghembe, ziada ya wababa Tabora, na ziada ya wadada Iringa. Suluhu inajionyesha yenyewe.
   
 18. M

  Mwana Wa Maryam Member

  #18
  Nov 17, 2007
  Joined: Oct 22, 2007
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya ni maoni yangu tu. Mnakosea mnaposema msomi awe na watoto wengi. Tanzania mtu yoyote mwenye kujua kusoma na kuandika ni msomi. Katika hoja yangu za hapa, nitachukua msomi ni mtu mwenye ya shahada ya chuo kikuu au elimu inayolingana nayo. Watu wa kundi hili wanaanza maisha wakiwa na zaidi wa miaka 27 kwa wastani. Hivyo idadi ndogo ya watoto kwao inatokana na kutafuta maisha sio kufuata maisha ya kimagharibi.

  Leo hii taifa nikitoa uhamuzi kuwa elimu ya msingi kwa mtanzania yoyote ni kidato cha sita, tutapunguza kwa kiasi kikubwa ongezeko la kizazi kwa mwaka. Historia inaonyesha kabla ya vita vya pili vya dunia familia nyingi za nchi za Ulaya na Marekani zilikuwa kubwa. Na zilikuwa kubwa kwa sababu, kazi za kubwa ya mwanamke ilikuwa mama wa nyumba na elimu ya vyuo vikuu ilikuwa chini ya asilimia 4. Hivyo watu wengi walianza maisha mapema.

  Vita vya pili vya dunia vilifanya wanaume wengi kwenda vitani na kazi zao kuchukuliwa na wanawake ambao mishahara yao ilikuwa midogo lakini ufanisi ulikuwa sawa na wafanyakazi wa kiume. Hivyo baada ya vita, milango ya wanawake kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwa mama wa nyumbani zilifunguliwa. Na vilevile nchi nyingi ziliongeza nafasi za vyuo vikuu na idadi ya wakazi wa nchi nyingi za magharibi wenye elimu ya juu kwa sasa ni kati ya asilimia 25 na 40.

  Kuhusu idadi ya watu na maendeleo. Suala hili inabidi tuliangalie kwa makini. Tusije tukakurupuka. India na China zilikuwa na Idadi kubwa ya watu kabla maendeleo ya kisasa kuwepo. Na idadi kubwa ya watu imetokana na ustaarabu uliojengwa karibu na vyanzo vya uhai (Maji). Mito na vyanzo vya maji katika nchi hizi imesaidia sana kukua kwa idadi ya watu toka zama zake. Si ajabu vyanzo vya maji ndio chimbuko la idadi kubwa ya watu nchini Nigeria. Vile vile Mkoa wa Kilimanjaro na hile ya Kanda ya ziwa ina idadi kubwa ya wakazi kwa sababu ya vyanzo vya uhai (Maji).

  Ukichukua deni letu la nje, misaada tunayopata kila mwaka kukidhi mahitaji yetu na uzalishaji wetu kuna sababu za kimsingi kuangalia ongezeko la watu.
   
 19. M

  Mwana Wa Maryam Member

  #19
  Nov 17, 2007
  Joined: Oct 22, 2007
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni kawaida yetu kuwa tuangalia sana matokeo ya maendeleo ya vitu bila kutazama kiini cha maendeleo.

  Kuna uwezekano mkubwa kuwa uwiano wa idadi ya watoto wapya wa kike na wa kiume katika mikoa ya Mbeya, Iringa na Tabora ni sawa. Na kuna uwezekano mkubwa kuwa uwiano huo unapotea pale watoto hao wanapofikia umri fulani kwa sababu ambazo hatutaki kuzitafutia ukweli wake.

  Kwa mfano; Wanaume wengi wa Botswana walikuwa wanafanya kazi katika migodi ya dhahabu huko Afrika Kusini. Hali hii ilifanya vijiji kukosa vijana wa kiume na kazi za kijamii kama mazishi zilibidi zifanywe na wanawake.

  Vile vile watu wanahama kuelekea mijini na magonjwa tuliyo sasa yanaweza kueleza uwiano huo. Kwa mfano uwiano wa wajaluo na makabila mengine unaonyesha kuwa wajaluo wanapungua na sababu kubwa inatokana na mila yao ya kuto-tahiri.
   
 20. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #20
  Nov 17, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mwana wa Marium,
  Sasa wewe unaona ni bora kwa taifa changa kuanza kuangalia namna ya kuwa na idadi ndogo za watu? No- and big no! Tunahitaji watoto- nadhani sehemu zingine Tz ni pori tu kwa kuwa watu ni wachache sana! Tz tuna vyanzo vingi vya maji hata kuliko Nigeria- angalia mito na maziwa kila mahali!

  Your definition of usomi- is intersting! Well taabu yangu na wasomi kama ulivyosema huchelewa sana kuolewa/kuoa wakati wanasoma. Ila kumbuka pia hata akiolewa na miaka 27 bado mwanamke msomi Tz atazaa only 2 childern! Hili ndo kwangu ni issue. Hata mwanamme msomi at 30 anaoa mwal. at 24 wanazaa tu watoto wawili!

  Yet wamachinga ndo tunawacha wanazaa watoto wengi- it is my view that kwa kufanya hivi we dont do justice for the welfare of future of our nation!
   
Loading...