Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

.."Kwa kuwa tatizo la uhaba wa maji ya binadamu ni kubwa sana na tunataka tuongeze kasi ya kukabiliana na tatizo hilo tumeona tuiondolee wizara hii mzigo wa umwagiliaji ili ibaki na kazi moja tu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yes my friend, Kipimo cha vilaza wote JF ni pale utakapowaona kama wanathubutu kujadili maada za katiba na kama wanaijua ilivyo! wengi ni vilaza wa 'siasa' wengi ni wafuata mkumbo. wengi ..ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I don't know how to put this in such a way that it would not be seen like some kind of condescending... YOU are attempt to mix sms, internet, computer technology in a massive election such as...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimeingiwa na utata kwamba siku hizi nne au Tano television ya star, TBC1, ATN, Channel ten and Redio free africa wameacha kusoma vichwa vya habari katika gazeti la Tanzania daima. Walianza na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana jamii forums eti ni kweli rostam, lowassa, meghji, ki, karamagi wana passport za nchi 4?, Au ndio maana HAWANA UCHUNGU wa TAIFA HILI?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kwa jinsi CUF walivyojiingiza mkenge kwa akina seif sharif waroho wa madaraka kuanza kuingizwa uwanja wa Taifa kwa kutumia lexus , sasa naamini CCM imewazalisha CUF mapacha kwanza kwa kukiua chama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Maana inadekezwa sana atiii. Kama inavyodekezwa Palestina na Waarabu. Fatwa kuua Myahudi. Dhulma kuua mpalasina. Wao waje waunde serikali kwetu Tanzanuia Bara. Sisi Watanzania Bara MARUFUKU...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Binafsi nimetazama ITV na TBC1 nichoona ni viongozi wa CCM na uongozi wa juu wa CUF akiwemo Maalim Seif ila sikuona kiongozi yeyote wa juu wa CDM yaani Mbowe, Arfi, Slaa, Lissu, Zitto wala Mnyika...
0 Reactions
82 Replies
8K Views
Bodi ya wakurugenzi wa LHRC,imethibitisha kuchaguliwa kwa Dr Wilbroad Peter Slaa kupata tuzo ya majimaji kwa kuwa Mbunge aliyetoa mchango mkubwa katika utawala bora na haki za binadamu 2005 -...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Waziri wa kilimo kuvaa suti...........
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cuba ilikuwa inapata mafuta kutoka Soviet Union, baada ya Soviet Union Kuanguka Kukawa hakuna njia ya kupata mafuta. Hapo ikabidi Cuba itafute njia mbadala. Kuhusu shida ya Usafiri mabasi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za Mzalendo huko Visiwani wanaona kuwa na Kanisa ni Sawa Sawa na kuwa na Bar na Clubs na wanaita ni Ukafiri. Sasa Huku Bara Tuna Utamaduni wetu na Dini Zetu, Kuna Msukuma ambaye ni Mkristo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu watanzania wapenda haki, leo nimepata tangazo ambalo liko katika gazeti la Tanzania Daima. Ndugu yetu, mbunge wa jimbo la Segerea ambaye kura zake zilichakachuliwa, Mh. Mpendazoe amekuombeni...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Leo Tumesikia Jinsi Gani Umoja wa Mataifa, UN na Umoja wa Afrika Magharibi Kutomtambua Mgombea Uraisi wa Ivory Coast, Gbagbo Baada ya Kujipa Uraisi Mwenyewe. Kitu cha Kushangaza Kikwete Hakupata...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni kweli kuna kiongozi yeyote mwenye sifa kama hizi? 1. Ana hofu ya MUNGU 2. Anaweka maslahi ya umma mbele kuliko yake ya binafsi au ya chama chake. 3. Mtetezi wa haki za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
NIMEVUTIWA na kauli aliyoitoa Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta Waziri wa Afrika Mashariki ambaye mwanzoni mwa wiki hii aliripotiwa akisema kuwa kuilipa fidia ya Sh 185 bilioni kampuni ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
RC atangaza kusaka Wazungu wazururaji mitaani na Neema Kishebuka, Tanga MKUU wa Mkoa wa Tanga, Meja Jenerali (mstaafu) Said Kalembo, amesema ataingia mitaani akishirikiana na Kamanda wa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
yaelekea huyu jamaa ndivyo anavyosema ingawa hatukumuelewa.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanaludewa wamenyimwa haki yao ya kikatiba ya kumchagua mbunge.Huyo Mbunge anayesemekana alipita bila kupingwa amewanyanganya Demokrasia WanaLudewa.Ndugu Manfred Peter Mtitu Kaza Buti katika Kesi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
….Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa maadhimisho hayo Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba alisema kuwa hatua ya CHADEMA kususa sherehe hizo ni kutokomaa kisiasa kwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom