Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sijui kama umepata kusoma hotuba ya Kikwete African Union. Soma hapa chini na tutachambua huu utumbo na maana ya demokrasia kwa upande wa CCM. JK decries trend of poll-result disputes in African...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukisoma hali halisi inavyokwenda, jinsi viongozi na wenye dhamana ya kumtaja rasmi mmiliki halali wa Dowans, inaonyesha dalili ya kiwingu kinachowatia ububu huo. Angekuwa ni kigogo mdogo tu na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakati dunia nzima ikifuatilia matukio na ghasia za kisiasa zilizoanzia Tunisia na sasa Misri, inashangaza kuona magazeti Tanzania yasivyotoa kipaumbele kwa habari za matukio ya kisiasa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Siku chache zilizopita, kuna mwana great thinker mmoja hapa jf alikuja na habari aliyojinasibu kuwa ni kutoka ktk chanzo kinachoaminika kwamba Hazina imekauka kiasi ya kuja kushindwa kulipa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni jambo la kawaida kwa mtu mzalendo kufikiria hatma ya nchi yake.Chama cha mapinduzi kimeiongoza Tanzania kwa takribani miaka hamsini sasa ukikaa na kutafakari juu ya sera zake na utekelezaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nikitumia maneno yangu nitaonekana mwenye chuki. Haya ni maneno ya January mwenyewe akiongea na viombo vya habari. Hebu niambieni huyu dogo katoa hela wapi??? Mshahara hata bado hajapewa. alikuwa...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Matokeo ya MITIHANI kidato cha nne yamezua tafrani kubwa ,kinachonishangaza mm ni mshangao wa watu kuhusu matokeo hayo !Ni mshangao kwa sababu kila anayefanya uchunguzi kidogo tu angetarajia hali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hongera Mwanakijiji kwa uzalendo wako. Mimi nitapenda kuongeza swali moja kwenye yale ya kwako uliyomuuliza Rustam :Maswali tisa kwa Rostam Aziz kuhusu Dowans Swali langu ni kuwa je Brig. Jen...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo Mwanahalisi limekuja na habari "Hujuma dhidi ya CDM nje". Limekuja na taarifa kuwa kuna Mradi wa vyama vitatu vya upinzani unaolenga kupunguza nguvu ya Chadema bungeni. Kwamba aliyekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Source TBC1. Jana. Wakati wakiwa wanapauka viwanja vya Biafra. Kwa mbwembwe walionesha kutembea kwa kile kilichoitwa kikakamavu. Ni propaganda? Provocation?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kauli ya Kamati Kuu ya CCM kuhusu Suala la Katiba Mpya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Dar es Salaam tarehe 20/1/2011 chini ya Uenyekiti wa CCM Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, ilijadili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Mwaka 2006 niliwahi kusikia Mh Rais, JK akitoa hotuba kwa Watanzania akilizunmzia sakata la Richmond. Alieleza kinagaubaga Richmond ni nini, na ni kwa nini walishindwa kuzalisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NIMEKUWA NIKIJIULIZA MARA NYINGI KAMA KUNA SABABU KILA SEHEMU WAZIR AU KIONGOZI ANAPOFANYA KAZI KUONGOZANA NA WANAHABARI ,HII INASAIDIA TAIFA AU MBWEMBWE TU ZA KUTAKA UMAARUFU. Kuna watu kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Another day another un popular opinion in JF. CHADEMA or Dr. SLAA are not the best alternative. I think it's time that we left this poor, flawed man to ride off into the sunset of...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Ndugu wana Jf najiuliza hivi hii serikali yetu ya ccm ina tatizo gani? najiuliza hili swali kutokana na mambo mengi yanayoendelea katika nchii yetu inayomilikiwa na serikali ya ccm kwani...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
NAzidi kujiuliza maswali kuhusu mustakabali wa nchi yangu Tanzania. Lakini kila nikiliangalia baraza la mawaziri nazidi kukata tamaa. Hawa ni baadhi ya wahusika wanaotakiwa kutupeleka kwenye...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa wale ndugu zangu ambao wanafuatilia kwa karibu ile kesi ya Mpendazoe dhidi ya mahanga, ni kuwa kesi sasa imepangiwa jaji ambaye atakuwa Prof. Ibrahim Juma. Kinachosubiliwa kwa sasa ni...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Asalaam Aleykum, Nadhani wote tunafuatilia jinsi People's Power kule Misri inavyofanikiwa sasa kuangusha utawala dhalimu wa Hosni Mubarak. Hii ni fundisho kwetu Tanzania na kwingineko kuwa nguvu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Huwa najiuliza sana kuhusiana na hawa mafisadi papa hadi mafisadi dagaa. Hivi ni kwanini hawatosheki? tatizo ni nini hasa? Maana utakuta mtu kahusika kwenye wizi wa Epa,meremeta,kiwira,mradi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mtu amwakilishie barua hii raisi wetu kabla ya kuja Abidjan kwa Gbagbo. Dhumuni, Gbagbo asije akamtoa nishai Mheshimiwa Kikwete kama vile alivyosumbuliwa bure Raila Odinga. LINK: Open...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom