Sera za CCM na hatima ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sera za CCM na hatima ya Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Vancomycin, Feb 2, 2011.

 1. V

  Vancomycin Senior Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni jambo la kawaida kwa mtu mzalendo kufikiria hatma ya nchi yake.Chama cha mapinduzi kimeiongoza Tanzania kwa takribani miaka hamsini sasa ukikaa na kutafakari juu ya sera zake na utekelezaji unaugua pengine ni wengi tayari wana stress ulcers na wamechoshwa kwa watanzania kugeuzwa vyombo vya majaribio.Hebu tutazame haya machache.
  1.Shule za kata zilianzishwa kama uyoga na wengine waliamshwa asubuh hata kuwekwa kolokoloni na serikali za vijiji kuchangia ujenzi, kwa kuwa walikurupuka shule hazina walimu waliopo vodafasta wengi,vitabu,maabara na mitaala inayogeuzwa kila mwenye kuzungumza atakapo zungumza leo asilimia 89 wamefeli je tunajenga taifa la aina gani?
  2.Sera ya kilimo kwanza nayo hii hapa hali ya hewa sehemu nyingi kwa sasa jua kali,vocha za pembejeo ndo hvyo,power tiller zinachagua pa kulima,hamna pa kuuza mazao tena hapa tusitarajie kitu
  3.Hii sasa ndo ya mpango wa zahanati kila kata ndio kichefuchefu,Hospitali za rufaa zilizopo hazina wataalamu wa kutosha,hospitali nyingi za wilaya mwenye degree ya medical doctor ni mganga mkuu wengine ni clinical officers ambao nao hawatoshi licha ya utaalamu mdogo walio nao sasa hzo zahanati zitahudumiwa na nani achilia mbali dawa na vifaa vingine bila kusahau wale ambao tungewasomesha wamefeli.Naona utekelezaji utakapoanza kwa wale ambao familia zetu maskini tuombe sana tusiugue na tuandae majeneza na makaburi kabisa ili tukiugua tupumzishwe bila usumbufu.
  MIMI NADHANI TUNA KILA SABABU YA KUUNGANISHA NGUVU ZETU KUREJESHA TANZANIA YETU KWANI SERA ZA CCM HAZIWEZI TENA KUIFANYA TANZANIA KUWA SALAMA.
   
Loading...