Je ni kweli Mlio Serikalini hamjapata mshahara wa mwezi Januari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kweli Mlio Serikalini hamjapata mshahara wa mwezi Januari?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chamajani, Feb 2, 2011.

 1. c

  chamajani JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siku chache zilizopita, kuna mwana great thinker mmoja hapa jf alikuja na habari aliyojinasibu kuwa ni kutoka ktk chanzo kinachoaminika kwamba Hazina imekauka kiasi ya kuja kushindwa kulipa mishahara ya mwezi Januari, Je ni kweli nyie mlio ktk payroll ya Serikali hamjalipwa au alikuwa akiifurahisha nafsi yake mwana gt yule? Hatujasahau kwani hili ni suala 'sensitive' sana kwa sekta nyingi. Tujuzeni!
   
 2. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280

  Wamelipa ila kwa kuchelewa!! deadline ya hazina Kudeposi mishahara Bank ni tarehe 25 ya kila mwezi ila ilivuka..... Na pia nin wasiwasi mshahara ulilipwa kwa mafungu! si bank zote zilipokea pesa kutoka Hazina kwa siku moja!!!
   
 3. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  mshahara ulishaisha si unajua mwezi wa shida huu madeni kibao na ada n.k. tehetehe
   
Loading...